MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Asili ya jina langu ni Ntwara, ila inategemea ntu na ntu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtwara Maeneo gan mkuuAsili ya jina langu ni Ntwara, ila inategemea ntu na ntu
Mkuu sijawahi kufika NtwaraMtwara Maeneo gan mkuu
Mkuu tujuane tuliopo mtwaraAsili ya jina langu ni Ntwara, ila inategemea ntu na ntu
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Kiongozi mi ID yangu ilikuja baada ya kuwa na demu mkali hatare, ananipenda kuliko chochote kile.
Namimi nikaamini na midevu yangu kama Sultan kumbe chaka....... Et "She loves me" hovyooooo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dume zima hovyoo!!!!!! Halaf nikiitwa shoga nalalamika
Sent using Jamii Forums mobile app