Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
miminimkulimaakachekasana ningependa kuona kuona jibu lake hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Baada ya uchaguzi wa 2015 ulipotea ghafla we kada, what happened au uliteuliwa?Lizaboni Ndo Home. I'm proud to born there
Vipi sasa hivi unafanya kazi google mkuu?
CC Zero IQ
Inaweza ikawa caila,casablanka au candy hahaha
Sawa CarenInaweza ikawa caila,casablanka au candy hahaha
Malizia na pombe MagCaren John Joseph....
Yani hili jibu na hyo Avatar nimejikuta nachekaaaaaaaaaaa lol kwa kweeeeeeeliiii
Catarina Joseph John [emoji16][emoji16][emoji16]Cajojo ni kifupi cha majina yangu mwenyewe