Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi Jina Langu Hon hilo ni kirefu honorable maana yake Mheshimiwa nilipo kua mdogo mdogo nilikua napenda sana kuwa mbunge hivyo nikawa na ndoto nije kuwa Mbunge au Hakimu NKUNDWE ni jina la kinyakyusa lenye Maana ya mpendwa nilipewa na mama yangu mkubwa wakati mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu wanaweza kuunganisha kama zinafanana haina tatizo.
JamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.

Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
 
Back
Top Bottom