Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Hongera kwa kuwa mzalendo wa kiafrika.
Mkuu jina langu ndio mkombozi wa Afrika.Yaani African origin spear.Nilifikiria tulipotoka waafrika na tulipo mkuki wetu ulichangia.