Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Haina maana yoyote mate..jina tu la msanii wa kifilipino (ynamorata) siku najiunga nilikumbuka tu jina lake nikaamua nilitumie..hiyo namba nilivyokua najiunga niliambiwa tayari Kuna mtu anatumia hilo jina humu ndio nikaamua kuweka namba mbele

Ila yna4 namba ilikua na maana ya watoto wanne[emoji1751]
Unataka watoto wanne?
 
Asalam wanajamvi?

Niende moja kwa moja kwenye mada! nini kilichopo nyuma ya hilo jina. Nini unakikumbuka ukajiita hilo jina! yapo majina mengi yanatoa tafakari na burudani!

Nikianza na mimi kindikinyer leborosier

Ni muunganiko wa vijiji vinne vilivyoandkwa kwa kifupi:

Kindi ni kijiji kimoja kipo kibosho kilimanjaro ambapo niliwahi kukaa kwa miaka minne nilijifunza uchaga na tamaduni zao zilinivutia na hua napakumbuka sana!

Kinyer (lendikinya) ni mtaa mmoja upo monduli umasaini niliwahi kwenda kusanya data nikajifunza mambo mengi ya kimasai.
Na tamaduni zao pia!

Leboro ni kijiji kingine kipo Manyara wilaya ya mbulu kata ya mama isara, ni chimbuko la wambulu (wairaki) niliwahi kwenda kukaa na kufanya shughuli zangu pale kwa muda pia, ni mahali pako vizur sana milima ile hali ya hewa ya ubaridi.. napakumbuka sana!

Na mwisho sier (esere) ni kijiji kipo wilaya ya ngorongoro mkoa wa Arusha kata ya enduleni, hapa kuna mambo mengi sana yalinifanya niishangae sana Tanzania, madini, mapango ya kale, na nyayo za mtu wa kale ambae zipo pembeni kidogo panaitwa laitolye, wanaishi wamasai nilijifunza mengi pia!!

Nini kinakukumbusha ukitazama jina lako la JamiiForums!!

Uzi tayari
jina langu (la jf) ni buffet,,,,,,,,,,mwaka flani nikiwa depo ilifikia hatua nikakata tamaa na nikajawa na mawazo/fikra za kutoroka kwa ule msoto,,,,,siku moja tumetulia mesi nikachukua jarida kwa afande kimaro alikuwa anasoma,jarida hilo lilikuwa limechapisha habari iliyoandikwa na bilionea Warren buffet yenye title "economic intelligence",habari ile ilielezea sana mafanikio na harakati za kiuchumi lakin mm nilifanya kubadili context ya story,kutoka economic kuja militarily, ushuhuda aloelezea buffet na njia njia ngumu alopitia hadi anakuwa among the global billionaires ilifanya nijipe moyo na kuamini kuwa ninaweza pia na nitatoboa,asante Allah,I made it and am proud of this job,,,,Warren buffet is mine real model
 
Atatatafuta mwingine
😁 😁 hapana. neda ufilipino wanaweka
naimajin ukiwa nayo ghafla kwa umri uo, utatia puli, sana, maana utakua na nyege alaf domo zege balaa
utakua mzuri madem watakukimbia wakijua unataka kuwasaga

izi zangu siwezi kupa, maana kwangu '4 chicks 5some' kwa wengine ni '2 chicks 3some'

ie: moja ina serve 2 chicks at a time
 
Kwa ajili ya privacy nlipendekeza majina mawili recycle bin na recuva na zote ni computer software , nikaona hili linanifaa zaidi ila nlikua na ID nyingne kabla ambayo nliona ni rahis sana watu kunijua nkaachana nayo jumla. Pia nlishawishika kutumia ID ya utofauti kwa kuona watu wengi hum wanatumia majina ya utofauti na nlivutiwa na mbaozamawe, viatuvyasamaki nikajipa recycle bin
 
[emoji16] [emoji16] hapana. neda ufilipino wanaweka
naimajin ukiwa nayo ghafla kwa umri uo, utatia puli, sana, maana utakua na nyege alaf domo zege balaa
utakua mzuri madem watakukimbia wakijua unataka kuwasaga

izi zangu siwezi kupa, maana kwangu '4 chicks 5some' kwa wengine ni '2 chicks 3some'

ie: moja ina serve 2 chicks at a time
Wala usihofu, mimi nafanana na baba yangu kwa hiyo itakuwa imefika mahali pake, nipe bwana usinifanyie roho mbaya mwenzio
 
Mimi tulikuwa na bekitatu flan hom wakati mdogo,sasa yule bekitatu akawa anasema atanipa dokolombwike, Mimi nikawa nampotezea kwanza nikawa naona jina la ajabu kinoma,akajaga kuondoka,baadae nikafwatilia alikuwa anamaanisha nini kumbe bwana dokolombwike ni PAPUCHI,daah huwa najilaum hadi Leo kukosa papuchi
 
Mimi Hon Ni kazi ambayo nilikua napenda kufanya toka niko mdogo yani niwe Hakimu au Mbunge Niitwe Mheshimiwa Nkundwe ni Jina langu la pili la kilugha nilipewa na Mama yangu mkubwa aliyekuwa ana muuguza mama alipojifungua kwa siza Kwahyo ndo ukiunganisha hapo unapata Hon Nkundwe
 
RIP Charles Kileo
images
 
jina langu (la jf) ni buffet,,,,,,,,,,mwaka flani nikiwa depo ilifikia hatua nikakata tamaa na nikajawa na mawazo/fikra za kutoroka kwa ule msoto,,,,,siku moja tumetulia mesi nikachukua jarida kwa afande kimaro alikuwa anasoma,jarida hilo lilikuwa limechapisha habari iliyoandikwa na bilionea Warren buffet yenye title "economic intelligence",habari ile ilielezea sana mafanikio na harakati za kiuchumi lakin mm nilifanya kubadili context ya story,kutoka economic kuja militarily, ushuhuda aloelezea buffet na njia njia ngumu alopitia hadi anakuwa among the global billionaires ilifanya nijipe moyo na kuamini kuwa ninaweza pia na nitatoboa,asante Allah,I made it and am proud of this job,,,,Warren buffet is mine real model
sawa afandeeee
 
Back
Top Bottom