Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Teh! teh! npo fine na hapa nlpo mkuu bar hazipo mbali sana [emoji16] ..just joking

Tengeneza upya..? [emoji848] I will consider that and thanks

Mwisho mbaya?. Hakunaga mwisho mbaya wala mzur mwisho ni mwisho tu
Anyway thanks again mkuu
Naomba uitafakari Tena ile message yangu.
 
Mm asili ya jina langu Ni mwanamziki wa ki Kongo franco luambo makiadi nadhani haina haja ya kumuelezea huyu msanii maana alikuwa very popular hasa kwa nyimbo zake mamuu, Mario,pesa position , attention na sida, testament ya bouwe,azda,colonel Bangala nk
RIP FRANCO LUAMBO MAKIADI (1938_1989)
lucas mobutu
 
mkuu, umeona ujumbe wangu kule kwenye ule uzi ?
 
Back
Top Bottom