Je, Jua ni Mungu?

Sasa tofauti ipo wapi mkuu mbona kama unatumia nguvu nyingi kukataa jambo lililowazi?

Suala la uwepo wa mungu linahitaji imani na nyie hamuuamini.

Halafu kiuhalisia hakuna asieamini au kutokuwa na imani.

Kwetu sisi IMANI=0=EMPTY!
 
Muulize yeye,mie sina imani na baadhi ya wenzangu ninaowajua!

Siwezi muongelea yeye kama yeye!
Wewe uliweka wingi kwa kusema "sisi" ukiwa na maana ya nyie atheists. Najua atheists hawataki kuamini chochote na hata kusema kwao hakuna mungu hoja zao zimeelemea huko ila kiuhalisia haiwezekani.

Tatizo mmechukulia imani ni jambo lenye kuhusu mungu au masuala ya dini tu.
 
Hapana mkuu.. Hiyo si sababu iliyowafanya watu wa zamani (ancient civilization) kuabudu jua. Ancient civilizations walijua fika kuwa chanzo cha maisha duniani ni jua, and so waliabudu Mungu huyu wa ukweli.

Aztec, ancient Egyptians, pamoja na nyenginezo waliabudu sun god kutokana na kujua umuhimu wake..

Personally ninaamini kuwa jua lina nguvu za kimungu!
 
Ni kweli kabisa mkuu! Unajua hata ile mionzi yake ya cosmos energy inayotolewa kwa zile flares kutoka kwenye jua huwa iko sawa kabisa na "Aura" of a human being ambayo ni mionzi ya energy ya rohoni ya binadamu.

Nimeweka na picture kabisa ancient civilization faith zote zinakiri haya.
 
Siungi mkono hoja ,kwasababu katika universe kuna nyota kubwa zaidi ya jua . Kama hivyo unapaswa kujua kuwa kuna Mungu aliyeumba jua na galaxies zote .
 
Mkuu acha kudogosha nguvu za sun god..! Sifa zote za dunia ulizotaja zinakuwa facilitated na jua!
 
Siungi mkono hoja ,kwasababu katika universe kuna nyota kubwa zaidi ya jua . Kama hivyo unapaswa kujua kuwa kuna Mungu aliyeumba jua na galaxies zote .
Wewe kuna nyota gani kubwa zaidi kuliko jua huko kwenye universe!?

Niambie?
 
Jua linapata utukufu na heshima kubwa kuliko sayari na nyota zote maana ndio life provider wa all universe.

No sun..No life in all planets and stars.
Mkuu sio all universe.. Just this small part of the gallaxy..!
 
Ni kweli mkuu.. Ukienda northern hemisphere unaweza kuziona hizi Aura..! A very beautiful view indeed..!
 
Maji yanayopatikana chini kabisa ya Ardhi yana relationship gani na jua kama ilivyo Maji ya Mvua?

Sasa kama kuna watu wanaoishi kwa kutegemea maji ya ardhini tu na wasiohitaji mvua kwa namna yoyote ile si wanaweza kusurvive bila jua inayoleta mvua?

Refer ecology mkuu, uone umuhimu wa jua, hatuish kwa maji pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…