evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
jua si Mungu....
Mungu ndiye aliyviumba hivyo vyote.....akili zako zikoje wewe
Mungu ndiye aliyviumba hivyo vyote.....akili zako zikoje wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tofauti ipo wapi mkuu mbona kama unatumia nguvu nyingi kukataa jambo lililowazi?
Suala la uwepo wa mungu linahitaji imani na nyie hamuuamini.
Halafu kiuhalisia hakuna asieamini au kutokuwa na imani.
mungu kapatwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu kupatwa kwa jua inakuaje?
Kwenu nyie akina nani wakati atheist mwenzio Al-Watan huwa anasema hatuwezi kuishi bila ya imani,ndiyo maana nasema pengine atheist wewe ni tofauti na wenzako.
Wewe uliweka wingi kwa kusema "sisi" ukiwa na maana ya nyie atheists. Najua atheists hawataki kuamini chochote na hata kusema kwao hakuna mungu hoja zao zimeelemea huko ila kiuhalisia haiwezekani.Muulize yeye,mie sina imani na baadhi ya wenzangu ninaowajua!
Siwezi muongelea yeye kama yeye!
Balaa.mungu kapatwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mkuu.. Hiyo si sababu iliyowafanya watu wa zamani (ancient civilization) kuabudu jua. Ancient civilizations walijua fika kuwa chanzo cha maisha duniani ni jua, and so waliabudu Mungu huyu wa ukweli.Jua siyo Mungu, watuwengi wanaliabudu jua kwasababu shida walizo pitia mfano waliteswa sana na mvua na baridi kali kwa kipindi kirefu matokeo yake jua lilipochomoza waliliabudu tu! kutokana na faraja waliyoipata kupitia jua kwakweli bila jua hakuna uhai.
Jua ndo kila kitu mkuu.. Hata mvua bila jua haiwezi tokea..!Nadhani watu walipaswa kuabudu mvua maana inaleta chakula pia..jua huwa watu hawalipi kipaumbele sana maana likizidi ni lawama tofauti na mvua.
Ni kweli kabisa mkuu! Unajua hata ile mionzi yake ya cosmos energy inayotolewa kwa zile flares kutoka kwenye jua huwa iko sawa kabisa na "Aura" of a human being ambayo ni mionzi ya energy ya rohoni ya binadamu.Hapana mkuu.. Hiyo si sababu iliyowafanya watu wa zamani (ancient civilization) kuabudu jua. Ancient civilizations walijua fika kuwa chanzo cha maisha duniani ni jua, and so waliabudu Mungu huyu wa ukweli.
Aztec, ancient Egyptians, pamoja na nyenginezo waliabudu sun god kutokana na kujua umuhimu wake..
Personally ninaamini kuwa jua lina nguvu za kimungu!
Jua si MUNGU
Mungu aliyetengenezwa na elements kama Hydrogen, Helium, oxygen na vielement vingine????
Jua ni mojawapo kati ya components za Solar System...yenye sifa ya kutoa Mwanga na Joto katika sayari zote baas.
Ukisema Jua ni Mungu wengine watasema Planet Earth ndio Mungu kwasababu
-Pekee ndio inayoprovide Habitat kwa viumbe hai.
-Pekee tu ndio yenye nguvu ya mvutano (Gravitational force) chini yenye kuwezesha Organisms na Materials kumove on the surface
-Pekee ndio yenye udongo wenye rutuba na madini yaliyo ya muhimu kwa sisi viumbe.
-Pekee ndio yenye Oxygen pure ifaayo kuvutwa na kutumiwa na wakazi wake.
On the other side, wengine watasema kwamba Jupiter ndio MUNGU kwasababu ni sayari kubwa sana na yenye Miezi (satelites) 20 hivyo kunang'aa sana kuliko sayari dunia.
Kwanini ujiulize kuwa Jua pekee ndio Mungu?
Wewe kuna nyota gani kubwa zaidi kuliko jua huko kwenye universe!?Siungi mkono hoja ,kwasababu katika universe kuna nyota kubwa zaidi ya jua . Kama hivyo unapaswa kujua kuwa kuna Mungu aliyeumba jua na galaxies zote .
Mkuu sio all universe.. Just this small part of the gallaxy..!Jua linapata utukufu na heshima kubwa kuliko sayari na nyota zote maana ndio life provider wa all universe.
No sun..No life in all planets and stars.
Ni kweli mkuu.. Ukienda northern hemisphere unaweza kuziona hizi Aura..! A very beautiful view indeed..!Ni kweli kabisa mkuu! Unajua hata ile mionzi yake ya cosmos energy inayotolewa kwa zile flares kutoka kwenye jua huwa iko sawa kabisa na "Aura" of a human being ambayo ni mionzi ya energy ya rohoni ya binadamu.
Nimeweka na picture kabisa ancient civilization faith zote zinakiri haya.
Maji yanayopatikana chini kabisa ya Ardhi yana relationship gani na jua kama ilivyo Maji ya Mvua?
Sasa kama kuna watu wanaoishi kwa kutegemea maji ya ardhini tu na wasiohitaji mvua kwa namna yoyote ile si wanaweza kusurvive bila jua inayoleta mvua?
Maji yanayopatikana chini kabisa ya Ardhi yana relationship gani na jua kama ilivyo Maji ya Mvua?
Sasa kama kuna watu wanaoishi kwa kutegemea maji ya ardhini tu na wasiohitaji mvua kwa namna yoyote ile si wanaweza kusurvive bila jua inayoleta mvua?
Maji yanayopatikana chini kabisa ya Ardhi yana relationship gani na jua kama ilivyo Maji ya Mvua?
Sasa kama kuna watu wanaoishi kwa kutegemea maji ya ardhini tu na wasiohitaji mvua kwa namna yoyote ile si wanaweza kusurvive bila jua inayoleta mvua?