Je, Jua ni Mungu?

Mkuu,natural occurance zote zina reason,tena scientific reason..hakuna some supernatual power,ni vituko vya karne tu!
Lakini ujue supernatural power ndio power kubwa kuliko zote. Scientific reasons zinafika ukomo wa kuelezea baadhi ya mambo na hapo ndipo tunapohitaji the power of the supernatural.

Roho inaweza kuwa explained only in spiritual realm ambayo ni supernatural kuliko scientific evidence.

Kwani wewe huamini kama Mungu yupo cousin?
 
Jua lina miaka bilion 5? Nani alipima umri wake na alitumia Kifaa gani?
Huo umri wa jua unakadiriwa tu mkuu. But lina nature ya uungu ndani yake alijawahi kuumbwa, halina mwanzo wala mwisho.

Alpha and Omega.

Sun God... Son of God.
 
Naona wengine wanasema mvua ndio bora kwakuwa inafanya mazao yapatikane, bila kujua kwanzakabisa mvua ili inyeshe inahitahi uwepo wa jua,

Ili mmea ukue hadi kutoa chakula unahitaji uwepo wa jua.

Hili somo nimelielewa vyema, ndio maana yale maeneo ya dunia ambayo jua halifiki hakuna kiumbe kinaishi wala mmea unaota,
 
Wewe umeelewa vizuri sana dhima nzima ya jua kuwa na utukufu, utisho, na heshima.

Yaani kuthibitisha jinsi jua lilivyokua bosi...sayari zote zinalizunguka jua likiwa limekaa kama bosi pale pale bila kutangatanga wala kuhangaika but sayari zote zinalizunguka na kuliabudu Jua kwa utukufu wake na jua bila hiyana linawapa maisha. Ajabu kabisa.
 
Huo umri wa jua unakadiriwa tu mkuu. But lina nature ya uungu ndani yake alijawahi kuumbwa, halina mwanzo wala mwisho.

Alpha and Omega.

Sun God... Son of God.
Ni jua tu ambalo halijawahi kuumbwa au ni pamoja na sayari na nyota pia hazijaumbwa?

Kwa maana hiyo neno SON na SUN kwako ww ni sawa sawa mkuu?
 
JUA SIO MUNGU

Jua linadhihirisha utukufu na uwepo Wa MUNGU , Hakuna mtualiyewau kumwona MUNGU. Jua pia linaonesha NGUVU ZA MUNGU aliyeumba vitu vyote
 
afande sele kasema anaabudu jua
Unajua watu wa Kariba yake Afande huwa wanabeba vitu vizito sana vya kimungu.

Sema jamii huwa haiwaelewi but hawa jamaa hawana dini za kimapokeo Bali they worship kwa kutumia reasoning.
 
Kwahiyo kutokujua kitu fulani maana yake unajua hicho kitu hakipo? kwamba mtoto hamjui mama yake na hivyo anajua hana mama?
This makes sense...hakuna mtu anaejua haraka mama kama mtoto.. Na anajua kwa spiritual eye ya ukweli kabisa.

Mtoto akinyonyeshwa na mama tofauti tayari hata akiwa na mwezi mmoja anasense utofauti wa mama yake halisi na huyu mama fake in spiritual perspective na atalia na kusumbua siku nzima.

Hii inaashiria mtoto anamjua mama yake vizuri zaidi akiwa mtoto kuliko akiwa mkubwa.
 
Kwahiyo kutokujua kitu fulani maana yake unajua hicho kitu hakipo? kwamba mtoto hamjui mama yake na hivyo anajua hana mama?
afadhali ya mama hata kama hutomkuta lakini utawaona wenzako ambao wenye mama zao ama kuziona pictr za huyo mama yako ..so hakutokiwa na nguvu kubwa inayopaswa kutumika kukujengea imani kuwa wewe ulizaliwa na mwanamke ambaye unapaswa kumuita mama ...ila kuhusu habari za Mungu mpka leo kwa wengine zimebaki kuwa fiction tu achilia mbali nguvu kubwa iliyotumika yakuwapeleka makanisani na misikiti ili wapate kujifnza habari zakumuhusu Mungu huyo
 
Wewe unasimama wapi kuhusu hii unayoiita fiction ya Mungu?

Unaamini katika uwepo wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…