Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Siku ya mwisho ni siku ya malipo,wabaya watapata malipo ya ubaya wao na wema watapata malipo ya wema wao,Sasa siku ya mwisho iwe Kama malaika kivipi!?
Mimi nazungumzia biblia inachosema, kama unaamin biblia tunaweza elewana kama huamini basi hatutafika mwisho.

Yesu aliulizwa kuhusu mwamba mwenye wake wengi kuwa mbinguni atakuwa Mme wa Nani mana jamaa alikuwa na wake Saba , Yesu akawaambia kuwa hawajui mambo ya mbinguni , mana mbinguni hakutakuwa na kuoa wala kuolewa Bali watakuwa kama malaika walivyo ... Means mfumo wa ndoa unaishia hapa hapa Kwa maisha haya
 
Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?

Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?...
Hakuna Raha yyte kwenye ndoa na utakuwa mwehu kulinganisha Raha ya duniani hapa na ya mbinguni , mbinguni hamna kuoa wala kuolewa na hiyo Yesu aliitolea ufafanuzi waziwazi, na kuokolewa anaokolewa mtu mmoja mmoja sio kundi , au mke na Mme au na watoto , kila mmoja anafight kivyake
 
Mtajijua wenyewe si mnajifanya kama ma-dish yenu yameyumba hapa duniani, sasa dawa yenu imepatikana yani mbinguni hamuendi tunaenda madume tu kukutana na hao wachumba 72. Haya endeleeni na sarakasi zenu
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera
Wanawake wa duniani walio wema ndio watakaokuwa mahurulaini wa mwanzo kwa waume zao. Sharti hao wanaume wawe walikufa wakiwa wema na wake nao pia. Iwapo wewe ni kizabizabina hutoingia hata peponi na kuwa hurulaini wa mwanamme mwengine iwapo mume wako wa duniani alikuwa muovu na kuwa mja wa motoni.

Hivyo fanya juhudi na pepo yenu wanawake ni nyepesi kwa ibada ndogo tu ijapokuwa hapa duniani shetani anawadanganya sana.
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna man 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu

Hiyo pepo itakua kama danguro,ni mwendo wa kunyanduana tu huku alla akishuhudia mitanange ya waumini wake,nadhani na tuzo zitakua zinatolewa.
 
Mimi nazungumzia biblia inachosema, kama unaamin biblia tunaweza elewana kama huamini basi hatutafika mwisho , Yesu aliulizwa kuhusu mwamba mwenye wake wengi kuwa mbinguni atakuwa Mme wa Nani mana jamaa alikuwa na wake Saba , Yesu akawaambia kuwa hawajui mambo ya mbinguni , mana mbinguni hakutakuwa na kuoa wala kuolewa Bali watakuwa kama malaika walivyo ... Means mfumo wa ndoa unaishia hapa hapa Kwa maisha haya
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
 
Kwanza kama ulikua uko swafi huku duniani, means unampenda mumeo huyohuyo, hujqwah kucheat, hujui kula riba, unamsikiliza mumeo peponi unaenda na unakua mzuri zaidi kuliko hao mahurul'ain nakati ya hao wanwake watakaopewa wanaume peponi kama uko kundi hili unaweza kuendelea na mumeo wa duniani

Lakini kwa sababu sisi wanawake kusengenya sisi, kufitini sisi wengi wetu ndio tutakua kuni

Naruhusu kusahihishwa.
 
Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari. Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Ukatoa hoja, ukajikosoa,
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kua ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
mkiambiwa hicho kitabu kimejaa fallancy za uongo mnakasirika mnaanza kutukana
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Mabikra 72 kwa mwanaume mmoja???
Hii ni zinaa ya namna gani????
Hapo mzee unakua chombo cha starehe period..
Huko peponi kazi ni moja tu,ufuska mwanzo mwisho..
Wanawake 72 sio mchezo,itakua ni ngono siku zote za maisha yako.
 
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
Kuyeyushwa na ziwa la moto ni vitu vinashabiana,huoni?
 
Msilete lugha za kebehi na matusi please. Hili swali ni zuri linahitaji mtu mwenye Ilimu ya Dini. Nadhani FaizaFoxy anaweza akalijibia hili. Msitake kutumia nafasi hii kuleta kashfa kwa watu. Inawezekana muulizaji kauliza swali kwa hishma kubwa akitaka kupewa ilimu njema.
 
Back
Top Bottom