Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Aanhaa yaani mwanaume akifika kule atapewa wapya 72 +1 au 4 aliotoka nao duniani?
Atakuwa na wake zake, kisha atakuwa na bonus ya mabikra 72, hivi wewe unafikiri hao ni wengi? maisha ya kule ni milele sijui pia kama watatosha, narudia maisha ya kule ni milele hayana mwisho
 
Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema: 28Mwalimu, Mose alituandikia kwamba kama ndugu ya mtu fulani akifa na kumwacha mjane wake bila watoto, ni lazima ndugu yake amchukue huyo mama mjane, amzalie watoto ndugu yake marehemu. 29Sasa, wakati mmoja kulikuwa na ndugu saba. Yule wa kwanza alioa na baadaye akafa bila kuacha mtoto. 30Yule ndugu wa pili akamwoa yule mjane, naye pia, akafa; 31na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba--wote walikufa bila kuacha watoto. 32Mwishowe akafa pia yule mwanamke. 33Je, siku wafu watakapofufuliwa, mwanamke huyo atakuwa mke wa nani? Alikuwa ameolewa na wote saba."

34Yesu akawaambia, "Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa; 35lakini wale ambao Mungu atawawezesha kushiriki ule wakati wa ufufuo, hawataoa wala kuolewa. 36Ama hakika, hawawezi kufa tena, kwa sababu watakuwa kama malaika, na ni watoto wa Mungu kwa vile wamefufuliwa katika wafu. 37Lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka wafu, hata Mose alithibitisha jambo hilo katika Maandiko Matakatifu. Katika sehemu ya Maandiko Matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto, anamtaja Bwana kama Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo.

38Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa wale walio hai; maana wale aliowaita kwake, wanaishi naye." 39Baadhi ya wale walimu wa Sheria wakasema, "Mwalimu, umejibu vema kabisa." 40Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza tena maswali mengine. (Luka 20: 34-36)
 
Atakuwa na wake zake, kisha atakuwa na bonus ya mabikra 72, hivi wewe unafikiri hao ni wengi? maisha ya kule ni milele sijui pia kama watatosha, narudia maisha ya kule ni milele hayana mwisho
Kwa mwaka unakula 12 Kila mmoja mwezi mmoja mmoja, halafu utakuna kuwarudia Kila baada ya miaka sita, kwahiyo kazi itakiwa ni hiyo hiyo mile yote kunyandua tu na pombe
 
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
Heb acha uongo bwana wapi pameandikwa kwamba wanayeyuka😂😂
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
du!!..kwa ivo mbinguni ni kugongana ngozi mwanzo mwisho!!!!
 
Pepo ya Waislamu ndiyo nzuri.

Sasa tukae peponi bila wanawake kwani siye tumekuwa makhanithi?

Anayetaka kuwa khanithi pindi afikapo peponi shauri yake!
 
Back
Top Bottom