Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Ndio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Watu wakubwa duniani unaowafahamu na usiowafahamu walioamua kuigundua hiyo michongo iliyomo kwa kuchukua hatua wao wenyewe ili waachane na mambo ya kuambiwa na kujazwa ujinga walianza michakato ya kukisoma hicho kitabu cha mchongo na wakaamini na kubadili dini 😊

We zungumza kwa mihemko tu na chuki hali ya kuwa huna ulijualo.
 
Ninyi mtakuwa maruhu'r'aaini.

Hivyo zidisheni swala janattu firdaus inawasubiri
 
Kwa mwaka unakula 12 Kila mmoja mwezi mmoja mmoja, halafu utakuna kuwarudia Kila baada ya miaka sita, kwahiyo kazi itakiwa ni hiyo hiyo mile yote kunyandua tu na pombe
Mwaka mmoja kwa Mungu, huku duniani ni miaka 1000, kwahiyo 72 ni wachache sana ni hivyo tu Mungu kaamua iwe hivyo, ebu fikiria jambo la milele sio mchezo, acha sisi tukale mema maana hapa duniani tumejizuia sanaaaa
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna man 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
Haipo hivyo. Kajifunze tena ndo uje urekebishe hiyo kauli yako.

Ukijiua ni moto tu huna mjadala. Kajifunze tena utaelewa 😊👍🏾
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Mnaenda kupewa bikra huko😀
 
Back
Top Bottom