Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?
Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?
Yaani tukomae na swala tano, swaumu, tule kwa macho pisi Kali afu peponi pia tukaswali na kufunga?
Kwetu sie waislam peponi(Allah atujaalie tuingie pepo yake) ni kustarehe babu kujinyima duniani...na mwanaume yeyote tukisema starehe alafu amtoe mwanamke kwenye starehe basi huyo binafsi nitamuona kuna shida sehemu.....bora ya starehe ni Mke mwema mtiifu(yaani mwanamke).
Tena hao 72 unakuwa energetic kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili kuwatosheleza.
Kuhusu wake zetu, akiwa ni katika watu wa peponi na Mme akiwa ni wa peponi basi mtumi(saw) kama si aya asema ingieni peponi na mnawaopenda(it means wana ndoa watakuwa pamoja if and only if watakuwa ni waliotenda mema).
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app