Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Siku ya mwisho ni siku ya malipo,wabaya watapata malipo ya ubaya wao na wema watapata malipo ya wema wao,Sasa siku ya mwisho iwe Kama malaika kivipi!?
Mimi nazungumzia biblia inachosema, kama unaamin biblia tunaweza elewana kama huamini basi hatutafika mwisho.

Yesu aliulizwa kuhusu mwamba mwenye wake wengi kuwa mbinguni atakuwa Mme wa Nani mana jamaa alikuwa na wake Saba , Yesu akawaambia kuwa hawajui mambo ya mbinguni , mana mbinguni hakutakuwa na kuoa wala kuolewa Bali watakuwa kama malaika walivyo ... Means mfumo wa ndoa unaishia hapa hapa Kwa maisha haya
 
Sasa hiyo pepo itakuwa na raha gani kama twajizuia huku, alafu huko pia hatuvipati hivyo vitu?

Nani kakuambia jimai siyo jambo linalopendwa na mwanadam mzee?...
Hakuna Raha yyte kwenye ndoa na utakuwa mwehu kulinganisha Raha ya duniani hapa na ya mbinguni , mbinguni hamna kuoa wala kuolewa na hiyo Yesu aliitolea ufafanuzi waziwazi, na kuokolewa anaokolewa mtu mmoja mmoja sio kundi , au mke na Mme au na watoto , kila mmoja anafight kivyake
 
Mtajijua wenyewe si mnajifanya kama ma-dish yenu yameyumba hapa duniani, sasa dawa yenu imepatikana yani mbinguni hamuendi tunaenda madume tu kukutana na hao wachumba 72. Haya endeleeni na sarakasi zenu
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera
Wanawake wa duniani walio wema ndio watakaokuwa mahurulaini wa mwanzo kwa waume zao. Sharti hao wanaume wawe walikufa wakiwa wema na wake nao pia. Iwapo wewe ni kizabizabina hutoingia hata peponi na kuwa hurulaini wa mwanamme mwengine iwapo mume wako wa duniani alikuwa muovu na kuwa mja wa motoni.

Hivyo fanya juhudi na pepo yenu wanawake ni nyepesi kwa ibada ndogo tu ijapokuwa hapa duniani shetani anawadanganya sana.
 

Hiyo pepo itakua kama danguro,ni mwendo wa kunyanduana tu huku alla akishuhudia mitanange ya waumini wake,nadhani na tuzo zitakua zinatolewa.
 
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
 
Kwanza kama ulikua uko swafi huku duniani, means unampenda mumeo huyohuyo, hujqwah kucheat, hujui kula riba, unamsikiliza mumeo peponi unaenda na unakua mzuri zaidi kuliko hao mahurul'ain nakati ya hao wanwake watakaopewa wanaume peponi kama uko kundi hili unaweza kuendelea na mumeo wa duniani

Lakini kwa sababu sisi wanawake kusengenya sisi, kufitini sisi wengi wetu ndio tutakua kuni

Naruhusu kusahihishwa.
 
Ukatoa hoja, ukajikosoa,
 
mkiambiwa hicho kitabu kimejaa fallancy za uongo mnakasirika mnaanza kutukana
 
Mabikra 72 kwa mwanaume mmoja???
Hii ni zinaa ya namna gani????
Hapo mzee unakua chombo cha starehe period..
Huko peponi kazi ni moja tu,ufuska mwanzo mwisho..
Wanawake 72 sio mchezo,itakua ni ngono siku zote za maisha yako.
 
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
Kuyeyushwa na ziwa la moto ni vitu vinashabiana,huoni?
 
Msilete lugha za kebehi na matusi please. Hili swali ni zuri linahitaji mtu mwenye Ilimu ya Dini. Nadhani FaizaFoxy anaweza akalijibia hili. Msitake kutumia nafasi hii kuleta kashfa kwa watu. Inawezekana muulizaji kauliza swali kwa hishma kubwa akitaka kupewa ilimu njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…