Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Ndio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Watu wakubwa duniani unaowafahamu na usiowafahamu walioamua kuigundua hiyo michongo iliyomo kwa kuchukua hatua wao wenyewe ili waachane na mambo ya kuambiwa na kujazwa ujinga walianza michakato ya kukisoma hicho kitabu cha mchongo na wakaamini na kubadili dini 😊

We zungumza kwa mihemko tu na chuki hali ya kuwa huna ulijualo.
 
Ninyi mtakuwa maruhu'r'aaini.

Hivyo zidisheni swala janattu firdaus inawasubiri
 
Kwa mwaka unakula 12 Kila mmoja mwezi mmoja mmoja, halafu utakuna kuwarudia Kila baada ya miaka sita, kwahiyo kazi itakiwa ni hiyo hiyo mile yote kunyandua tu na pombe
Mwaka mmoja kwa Mungu, huku duniani ni miaka 1000, kwahiyo 72 ni wachache sana ni hivyo tu Mungu kaamua iwe hivyo, ebu fikiria jambo la milele sio mchezo, acha sisi tukale mema maana hapa duniani tumejizuia sanaaaa
 
Haipo hivyo. Kajifunze tena ndo uje urekebishe hiyo kauli yako.

Ukijiua ni moto tu huna mjadala. Kajifunze tena utaelewa 😊👍🏾
 
Mnaenda kupewa bikra huko😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…