Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Ndio ujue mnadanganywa!!!
 
Hiyo ni mojawapo tu ya contradiction kibao zilizopo kwenye quoran. Ukweli ni kwamba quoran kisayansi haina ushawishi hata chembe na ndio maana uislaam unatumia nguvu na vitisho kujieneza.

Kwa kusema hivyo haina maana biblia haina contradictions. Inayo pia kibao sema ukristo umebase kutumia njia za kushawishi kwa amani kujieneza na sio nguvu na bunduki 'jihad' kama uislaam.
 
Hiyo ni mojawapo tu ya contradiction kibao zilizopo kwenye quoran. Ukweli ni kwamba quoran kisayansi haina ushawishi hata chembe na ndio maana uislaam unatumia nguvu na vitisho kujieneza. Kwa kusema hivyo haina maana biblia haina contradictions. Inayo pia kibao sema ukristo umebase kutumia njia za kushawishi kwa amani kujieneza na sio nguvu na bunduki 'jihad' kama uislaam.
Contradiction hapo iko wapi kiongozi?

Uislamu hautumii nguvu yeyote ila kila siku unaendelea kuenea duniani kote

Na mifano hai nakupa kombe la dunia la mwaka 2022 wamesilimu zaidi watu 150 siku moja tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
usirukie mambo usiyoyajua ndugu.
Hiyo No. 2 maana yake Hao ni wake za wanaume walioingia Motoni huku wake zao wakiwa watu wema peponi, itabidi warithiwe na wanaume wema walioko peponi.

No3- Kimsingi hasa ni kuwa Metaforic,kusimama muda wote ni kila utakapo hitaji kufanya ngono mashina itasimama .Hakuna kuchoka. Utakula papuchi kila upendapo ,

Mashetani wote watakuwa Motoni siku hizo. peponi ni eneo la watu wema tuu ,hakuna usumbufu wala malumbano. raha juu ya Furaha.
Karibu Usilimu twende pamoja mkuu.
Sunan Ibn Majah 4337

It was narrated from Abu Umamah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:

“There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”

"seventy from his inheritance from the people of Hell"

Hilo la kusema wake za watu walioingia Motoni umelitoka wapi ?

Hebu tuwekee hilo andiko tulisome wote hapa.

Nasubiri hilo andiko.

Hadithi inasema mtaozwa wanawake 70 watakaotoka motoni.
Naomba maelezo kwa andiko.
 
Nilikuwa nakuacha tu kwa sababu najua huna akili kwanza hadithi yako ni dhaifu .

Na hilo andiko lipo kwenye hadithi yako hiyo hiyo

مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ

maana yake Hao ni wake za wanaume walioingia Motoni huku wake zao wakiwa watu wema peponi, itabidi warithiwe na wanaume wema walioko peponi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nakuacha tu kwa sababu najua huna akili kwanza hadithi yako ni dhaifu .

Na hilo andiko lipo kwenye hadithi yako hiyo hiyo

مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ

maana yake Hao ni wake za wanaume walioingia Motoni huku wake zao wakiwa watu wema peponi, itabidi warithiwe na wanaume wema walioko peponi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unatoa wapi hayo maelezo. Mimi nimekuweka hadithi inayo jieleza vizuri tu.
Huo ufafanuzi wako unautoa wapi ?

Weka hiyo hadithi au andiko linalosema kama inavyosema wewe

Wake wema Motoni walienda kufanya nini ?
 
Unatoa wapi hayo maelezo. Mimi nimekuweka hadithi inayo jieleza vizuri tu.
Huo ufafanuzi wako unautoa wapi ?

Weka hiyo hadithi au andiko linalosema kama inavyosema wewe
Kwanza nakwambia Tena hadithi yako ni dhaifu

Nakuambia tena chizi wewe hilo andiko lipo kwenye hadithi yako hiyo hiyo nime kutafsiria chini kwa sababu hujui kuku wewe

Nani kakwambia wake wema wameenda motoni

Back
Top Bottom