Peponi TUTAT*MBER [emoji1787][emoji1787]Sio mudi tu hata Yesu tutakua nae huko alafu we jitoe nishakwambia kama unataka silimu kwanza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peponi TUTAT*MBER [emoji1787][emoji1787]Sio mudi tu hata Yesu tutakua nae huko alafu we jitoe nishakwambia kama unataka silimu kwanza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Itabidi nisilimu mkuu... Papuchi 72 sio za kuziacha kabisaSio mudi tu hata Yesu tutakua nae huko alafu we jitoe nishakwambia kama unataka silimu kwanza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio ujue mnadanganywa!!!As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Nishakwambia jitoe wewe huko tutastarehe tukiwa na Yesu kwenye mito ya pombePeponi TUTAT*MBER [emoji1787][emoji1787]
Changamka sasa kuna pombe pia tuta kunywa na YesuItabidi nisilimu mkuu... Papuchi 72 sio za kuziacha kabisa
Kwa ulivyo hupati kitu avator tu teyari ishakutoa kwenye kundiTutapewa na sisi wanaume bikra30 [emoji23]
Nyinyi mtakuwa wasaidizi wa kazi za ndani... Wakati tunanyanduana na mademu zetu huko majuu nyinyi mtakuwa nje mkifua na kufagia bustani
We hutaki kua mrembo huko kwaNdio ujue mnadanganywa!!!
Waislam bila kumtaja Yesu huwa hamnaga confidence kabisa.Changamka sasa kuna pombe pia tuta kunywa na Yesu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa ulivyo hupati kitu avator tu teyari ishakutoa kwenye kundi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yesu tutakua nae tukinywa pombe [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Waislam bila kumtaja Yesu huwa hamnaga confidence kabisa.
Mnamtenga sana Issa, sijui kwa nini hamko proud naye!!!!
Hiyo ni mojawapo tu ya contradiction kibao zilizopo kwenye quoran. Ukweli ni kwamba quoran kisayansi haina ushawishi hata chembe na ndio maana uislaam unatumia nguvu na vitisho kujieneza.As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Contradiction hapo iko wapi kiongozi?Hiyo ni mojawapo tu ya contradiction kibao zilizopo kwenye quoran. Ukweli ni kwamba quoran kisayansi haina ushawishi hata chembe na ndio maana uislaam unatumia nguvu na vitisho kujieneza. Kwa kusema hivyo haina maana biblia haina contradictions. Inayo pia kibao sema ukristo umebase kutumia njia za kushawishi kwa amani kujieneza na sio nguvu na bunduki 'jihad' kama uislaam.
Sunan Ibn Majah 4337usirukie mambo usiyoyajua ndugu.
Hiyo No. 2 maana yake Hao ni wake za wanaume walioingia Motoni huku wake zao wakiwa watu wema peponi, itabidi warithiwe na wanaume wema walioko peponi.
No3- Kimsingi hasa ni kuwa Metaforic,kusimama muda wote ni kila utakapo hitaji kufanya ngono mashina itasimama .Hakuna kuchoka. Utakula papuchi kila upendapo ,
Mashetani wote watakuwa Motoni siku hizo. peponi ni eneo la watu wema tuu ,hakuna usumbufu wala malumbano. raha juu ya Furaha.
Karibu Usilimu twende pamoja mkuu.
Nilikuwa nakuacha tu kwa sababu najua huna akili kwanza hadithi yako ni dhaifu .Sunan Ibn Majah 4337
It was narrated from Abu Umamah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
“There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”
"seventy from his inheritance from the people of Hell"
Hilo la kusema wake za watu walioingia Motoni umelitoka wapi ?
Hebu tuwekee hilo andiko tulisome wote hapa.
Nasubiri hilo andiko.
Hadithi inasema mtaozwa wanawake 70 watakaotoka motoni.
Naomba maelezo kwa andiko.
Unatoa wapi hayo maelezo. Mimi nimekuweka hadithi inayo jieleza vizuri tu.Nilikuwa nakuacha tu kwa sababu najua huna akili kwanza hadithi yako ni dhaifu .
Na hilo andiko lipo kwenye hadithi yako hiyo hiyo
مِيرَاثِهِ مِنْ أَهْلِ النَّارِ يَعْنِي رِجَالاً دَخَلُوا النَّارَ فَوَرِثَ أَهْلُ الْجَنَّةِ نِسَاءَهُمْ كَمَا وُرِثَتِ امْرَأَةُ فِرْعَوْنَ
maana yake Hao ni wake za wanaume walioingia Motoni huku wake zao wakiwa watu wema peponi, itabidi warithiwe na wanaume wema walioko peponi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza nakwambia Tena hadithi yako ni dhaifuUnatoa wapi hayo maelezo. Mimi nimekuweka hadithi inayo jieleza vizuri tu.
Huo ufafanuzi wako unautoa wapi ?
Weka hiyo hadithi au andiko linalosema kama inavyosema wewe