Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Katika uislamu mwenye haki ni mwanamume tu, mwanamke anatambuliwa kwenye kuhudumia ndoa tu.
Mwanamke,ana haki zaidi.
HAKUNA ATAKAYE INGIA PEPONI BILA KUPATA PASSWORD,KUTOKA KWA MAMA MZAZI(AMBAYE NI MWANAKE).
 
Upige ukahaba duniani halafu utegemee kuiona pepo?Wewe ni moto tu, mpaka urudi katika Uislam.
Mtu anayefanya ukahaba akiwa muislamu ndiyo ataenda pepo?
Only God can judge me. *Binadamu hana mamlaka ya kusamehe dhambi wala kuhukumu wenye dhambi bali anaweza kutoa hukumu kwa watu wenye makosa kulingana na sheria na katiba ya nchi.
Mungu hana dini.
 
Swali lipo kwa wanawake ? Wao peponi wanaingia ama hawaingii ?

Na je wao watapewa nini wakiingia peponi kulinganisha na wanaume wakipewa Mabikra ?

Ama wanawake wao hawataki starehe hawana nyegezzz? Ama na wao watapewa mabikra wa kiume?
Wanawake peponi wataingia

Na watapewa kila wanacho kitaka
Na katika hao wanawake 72 na wao pia wapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio ujue mnadanganywa!!!
wacha kujishaua wee ,
Wewe unafaa kuwa mmoja wa Mahurl ain.
Silimu uunge mnyororo wa kwenda peponi, bado nafasi unayo ,wanawake wa kiislamu ndio pambo kuu la pepo kama hamjui.
 
Kwanza kabisa Mola wako hamdhulumu mtu yoyote aliyefanya jitihada kwenye kufanya matendo mazuri, ipo hivyo kwa Wanaume na Wanawake wote watalipwa kwa wema wao....SO, WANAWAKE NAO WATAENDA ENJOY PEPONI KWA ENJOYMENTS TOFAUTI TOFAUTI MOLA WAO NDIYO ANAJUA ZAIDI.


Na ukipata nafasi pitia hizi Aya hapa tafadhali [emoji1427]
Al-Ahzab 33:35

إِنَّ ٱلْمُسْلِمِينَ وَٱلْمُسْلِمَٰتِ وَٱلْمُؤْمِنِينَ وَٱلْمُؤْمِنَٰتِ وَٱلْقَٰنِتِينَ وَٱلْقَٰنِتَٰتِ وَٱلصَّٰدِقِينَ وَٱلصَّٰدِقَٰتِ وَٱلصَّٰبِرِينَ وَٱلصَّٰبِرَٰتِ وَٱلْخَٰشِعِينَ وَٱلْخَٰشِعَٰتِ وَٱلْمُتَصَدِّقِينَ وَٱلْمُتَصَدِّقَٰتِ وَٱلصَّٰٓئِمِينَ وَٱلصَّٰٓئِمَٰتِ وَٱلْحَٰفِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَٱلْحَٰفِظَٰتِ وَٱلذَّٰكِرِينَ ٱللَّهَ كَثِيرًا وَٱلذَّٰكِرَٰتِ أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا

Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.

An-Nisa' 4:40
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظْلِمُ مِثْقَالَ ذَرَّةٍۖ وَإِن تَكُ حَسَنَةً يُضَٰعِفْهَا وَيُؤْتِ مِن لَّدُنْهُ أَجْرًا عَظِيمًا

Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.
Umeelezea vizuri.Katika Qur'an kuna chapter nzima inai,twa The woman,hakuna chapter the Man.
Wala hakuna kitabu cha dini nyingine chenye chapter the woman.
 
mkiambiwa hicho kitabu kimejaa fallancy za uongo mnakasirika mnaanza kutukana
Wewe ndio muongo.Katika uislamu,huingii peponi bila ruhusa ya mama(ambaye ni mwanake)
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,ukakutana na matapeli,wanaokudanganya.
 
Wewe ndio muongo.Katika uislamu,huingii peponi bila ruhusa ya mama(ambaye ni mwanake)
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,ukakutana na matapeli,wanaokudanganya.
we fala kweli. hiyo comment yako muulize aliyeanzisha uzi.
 
Luka mstari wa 6:20 Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.
21 Heri ninyi mlio na njaa sasa, kwa sababu mtashiba. Heri ninyi mliao sasa, kwa sababu mtacheka.
 
Mwanamke,ana haki zaidi.
HAKUNA ATAKAYE INGIA PEPONI BILA KUPATA PASSWORD,KUTOKA KWA MAMA MZAZI(AMBAYE NI MWANAKE).
Mwanamke huyu huyu wa Kiislamu anaye fananishwa na Mbwa Mweusi na Punda.

Narrated Abu Dhar al-Ghifari (RA):

Allah's Messenger (ﷺ), "In case there is not before him (an object) like the back of a saddle, a Muslim's Salat (prayer) would be cut off by (the passing of) a woman, a donkey and a black dog." And it concludes: "the black dog is a devil." [Reported by Muslim].

Mwanamke anayezidiwa thamani hata na Mbwa Mweupe.
Dini ya Ajabu sana hii.

Nasubiri Taqqiya.
 
Sunan Ibn Majah 4337

It was narrated from Abu Umamah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:

“There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”


"seventy from his inheritance from the people of Hell"

Hilo la kusema wake za watu walioingia Motoni umelitoka wapi ?

Hebu tuwekee hilo andiko tulisome wote hapa.

Nasubiri hilo andiko.

Hadithi inasema mtaozwa wanawake 70 watakaotoka motoni.
Naomba maelezo kwa andiko.
Mahurulayn ni Viumbe wa Aina gani Peponi? Wana sifa gani hasa za Kimaumbile? was created by Asmaa
Mkusanyaji, Mfasiri S. Hussein
Kabla ya kuliendea somo letu la leo, hebu tuungalie ulimwengu wa wanaume na wanawake na kuona ni wangapi wanaoacha mabaya ya dunia ili wapate mema ya Akhera.
Wanawake wazuri wa dunia yetu ya leo ambao wangeweza kuwa wazuri zaidi Akhera wameamua kuishi maisha ambayo sio tu hayatawawezesha kuwa na maumbile bora zaidi Peponi bali wana hatari kubwa ya kuikosa hata harufu ya Pepo.
Warembo wa dunia wameamua kuutumia vibaya urembo wao na kumpa ushindi mkubwa Ibilisi. Kama kuna fitna kubwa ulimwenguni hivi leo basi fitna hiyo ni “mwanamke”. Zinaa inayofanyika hadharani na faraghani imekithiri!
Wanawake wamekuwa mtihani mkubwa kwa wanaume. Thamani ya umbile lao wameitupilia mbali, sasa wanaunadi utupu wao mchana kweupe! Ni kazi ndogo na nyepesi kabisa kwa mwanamke wa leo kujiondoshea nguo mwili mzima hadharani, tena kwa fahari. Kiumbe ambaye Mwenyezi Mungu amemuwekea stara nzito ya mavazi katika uhai na umauti wake ndio amekuwa kinara wa kwenda utupu!

Warembo miongoni mwa Wazungu, Warabu, Waafrika, Wahindi na kadhalika wamekubali ‘kuukosa’ Uhurulayn ambao wangeupata baada ya kufufuliwa laiti wangekuwa watu wema.

“Mwanamke hana dini”, huu umekuwa msemo mashuhuri wa jamii ambao unathibitika katika maisha ya kila siku. Wanawake wengi huishi kana kwamba dini haiwahusu kabisa!
Kana kwamba uchaMungu ni sifa ya wanaume, kana kwamba kuswali ni kazi ya wanaume, na kadhalika. Utafiti mdogo tu wa kijamii unaweza kutoa picha ya jumla ya wanawake kwa mnasaba wa yote hayo. Kuna ahadi kuwa wanawake wema wa dunia watakuwa pamoja na waume zao katika maisha ya Peponi. Kwamba wataumbwa upya kwa maumbile bora zaidi. Lakini ahadi hii, kwa maisha yanayoonekana duniani, ina dalili nyingi za kutotimia kwa wanawake wengi. Hata waume ambao hutangulia mbele za haki wakiwa katika maisha ya wema na wake zao, nyuma yao husalitiwa!
Wajane huwehuka na kupoteza mweleke, tena wengine, hata kabla Edda haijesha! Sharti la ahadi ya kuendelea kwa ndoa Peponi ni kwamba mume na mke wote wafe haliyakuwa ni watu wema, lakini mmoja akingeuka, ndoa ya Peponi haiwezi kuwepo tena.

Hivyo, wanawake wanaokengeuka baada ya kufiwa na waume zao wema, hawatakuwa pamoja na waume zao. Hivyo, mume na mke wanaopendana kwelikweli ni wale watakaochagua kuishi maisha ya wema na uchaMungu, vinginevyo, kifo kitakuwa mwisho wa ndoa yao.
Kama wote watakuwa waovu, basi hakutakuwa na ndoa tena nje ya Pepo, na kama mmoja atakuwa mwema na mwingine muovu, basi watakuwa wamepotezana. Katika makala hii, tunawazungumzia wanawake wa Peponi
Katika Simulizi za Waislamu, Hurulayn ni mwanamke mwenye macho makubwa. Kwa kawaida, wanaelezewa kama viumbe wenye rika moja, macho ya mahaba, macho ya -aibu-aibu, watwaharifu au tuseme ni wake wa Peponi wasiojua machafu.
Hawa ni wanawake wa Kibinadamu na Kijini ambao wataingia Peponi baada ya kuumbwa upya katika maisha ya Akhera. Hawa ni wanawake walioahidiwa Waislamu hasa Mashahiid baada ya kufa kwao. Baadhi ya simulizi zinasema kila mmoja atapata mahurulayn 72.
Hata hivyo, Qur’an inasema kuwa waumini wote watakaoingia Peponi watapewa mke zaidi ya mmoja miongoni mwa Mahurulayn. Idadi ya Mahurulayn 72 inatokana na Hadith dhaifu ambayo isinadi yake ina walakini (ambayo haina wapokezi wa kuaminika, na ambayo haitokani na Qur’an).
Katika Qur’an, Mahuralyn wanaitwa “marafiki” wanaochunga macho yao”, wenye macho yenye haya, makubwa, ya kurembuka, na y a mahaba, macho ya mfano wa lulu, mazuri, ya kuvutia.

Surat al-Waqia (56:35-37) ya Qur’an inawaelezea Mahurulayn kama wake “waliotakaswa kabisa”, walioumbwa kwa umbile bora kabisa, hawajaguswa (wanawari), na wana makamo sawa.
Mtazamo wa Mashia juu ya Mahurulayn
Kwa mtazamo wa Mashia, kipengele muhimu ni kwamba amali njema za waumini ndizo zinazofidiwa kwa Mahurulayn Peponi. Kwa maneno mengine, Mahurulayn ni malipo ya waja kwa vitendo vyao vizuri.. Ni viumbe wenye maumbile bora ambayo hayatafifia baada ya kupitwa na wakati, na ambao watawatumikia wale watakaokuwa pamoja nao.
Maelezo mengine kuhusiana na Mahurulayn ambayo yametolewa na Wanazuoni wa kidini ni kwamba hawa Mahurulayn hawatakuwa na udhaifu wa kufanyiza haja kubwa na ndogo, hawatashika mimba , hawatakuwa na hedhi. Imeelezwa kuwa daima watabaki kuwa vijana. Hawana vinyweleo isipokuwa nyusi na nywele kichwani. Ni watwaharifu na warembo.

Maana ya Maneno katika Lugha ya Kiarabu
Neno Hur la Kiarabu ni wingi wa maneno mawili ahwar (jinsia ya kiume) na hawra (jinsia ya kike) ambayo yote kiistilahi yanatafsirika kama wenye macho makubwa, au yanapotofautishwa, basi neno hawra peke yake huwa na maana ya “weupe-pepe wa mboni za macho.” Tafsiri bora zaidi ya Kiswahili ni “wenza waliotakasika, warembo wa macho.
Miongoni mwa Wasio Waislamu, dhana ya Hurulayn imevuma kwa jina la “Mabikira”.

Lugha ya Kiebrania”
Katika Lugha ya Kiebrania, kivumishi kinachoendana na hawra ni hiwer ambacho maana yake ni “weupe-pepe.” Neno linalotafsiri jicho ni Ayin.

Lugha za Ulaya
.Neno “houri” (Hurulayn) limeingia katika Lugha kadhaa za Ulaya. Liliingia katika Lugha ya Kifaransa mwaka 1654, na likaingia katika Lugha ya Kiingereza mwaka 1737, likiwa na maana ya “mwanamke mrembo wa kuvutia.”

Neno “Houri” na Neno “Whore” la Kiingereza
Neno “whore” la Kiingereza, au Hure la Kijerumani, au Hore la Kidenishi, au Hora la Kiswidishi, au Hoer la Kidachi linasadikika kunasibiana na neno houri la Kiarabu.
Idadi na Jinsia ya Mahurulayn na Vijana wa Kudumu[20]
Mahurulayn wanatajwa katika aya kadhaa za Qur’an, mara nyingi, wakitajwa katika wingi. Katika Qur’an haikutajwa idadi ya Mahurulayn ambao kila muumini mmoja atakuwanao.
Na kuhusiana na jinsia ya Mahurulayn, Qur’an haioneshi kuwa ni wanaume peke yao watakaopewa Mahurulayn, hii inaweza kuwa na maana kuwa wanaume na wanawake wote watakuwa na idadi fulani ya mahurulayn kwa ajili yao.
Hii inaleta uyumkinifu kuwa Mahurulayn wanaweza kuwa wa jinsia zote mbili; wanaume au wanawake. Isitoshe, vivumishi vyote vilivyotumika katika Qur’an kuhusiana na Mahurulayn vinatumika kwa pande zote mbili za jinsia, wanawake na wanaume.
Kwa upande mwingine, Hadith nyingi za Mtume, swallallahu alayhi wa sallam, zimewata Mahurulayn. Si Waislamu wote wanaotumia vivumishi vya jinsia ya kike pale wanapowazungumzia Mahurulayn.
Bila kujali jinsia ya Mahurulayn wenyewe, Qur’an inasema kuwa Peponi waumini wote watapewa sio tu mahurulayn bali pia vijana wa kuwatumikia kama ilivyozungumzwa katika aya mbili tofauti za Qur’an (52:24).
 
Mwanamke huyu huyu wa Kiislamu anaye fananishwa na Mbwa Mweusi na Punda.

Narrated Abu Dhar al-Ghifari (RA):

Allah's Messenger (ﷺ), "In case there is not before him (an object) like the back of a saddle, a Muslim's Salat (prayer) would be cut off by (the passing of) a woman, a donkey and a black dog." And it concludes: "the black dog is a devil." [Reported by Muslim].

Mwanamke anayezidiwa thamani hata na Mbwa Mweupe.
Dini ya Ajabu sana hii.

Nasubiri Taqqiya.
Hapo ujaelewa wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo bikra ni ya kudumu?
Je hiyo ndiyo starehe pekee ya binadamu? Hakuna kula wala kunywa na kucheza?
Bikra za kudumu,ukimaliza kazi inarecover upya.
Raha za kila aina zitakuwepo, Vyakula,Kutembea , mavazi, na burdani tusizo wahi kuzisikia wala kuziona.
Hakuna kulala wala kufa, wala kuumwa wala kwenda haja.
Hawa Mapadiri wa kikatoliki na walokole wanajizuia kuoa huku duniani,
halafu kesho Akhera wabakie na mipoyoyo yao hivyo hivyo.
Wacha mashekh tulambe kote kote, Dunuiani 4 na Akhera 72. nyinyi bakini na Upoyoyo wenu.
 
Mwanamke huyu huyu wa Kiislamu anaye fananishwa na Mbwa Mweusi na Punda.

Narrated Abu Dhar al-Ghifari (RA):

Allah's Messenger (ﷺ), "In case there is not before him (an object) like the back of a saddle, a Muslim's Salat (prayer) would be cut off by (the passing of) a woman, a donkey and a black dog." And it concludes: "the black dog is a devil." [Reported by Muslim].

Mwanamke anayezidiwa thamani hata na Mbwa Mweupe.
Dini ya Ajabu sana hii.

Nasubiri Taqqiya.
Mwanamke anayezidiwa thamani hata na Mbwa Mweupe

Ebu leta andiko linalo sema hivyo [emoji3516][emoji3516] kama huna nianze kukupopoa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Swali lipo kwa wanawake ? Wao peponi wanaingia ama hawaingii ?

Na je wao watapewa nini wakiingia peponi kulinganisha na wanaume wakipewa Mabikra ?

Ama wanawake wao hawataki starehe hawana nyegezzz? Ama na wao watapewa mabikra wa kiume?
Yamkini swali lako likakosa maana.La kijuha, Sisi tunasema Wanaume watapewa Wanawake Mabikira ,halafu wewe unakuja na swala la wanawake je? Ndo hao mabikira. Ukimpa mwanamke raha si na wewe ndo unapata raha?
Kwa ufupi Mwanmme mmoa wanawake 72 . Hii Hurl ain ni sifa ya uzuri watakayopewa dada zetu.
 
Mtarudishiwa bikira zenu mlizopoteza kizembe duniani
 
Back
Top Bottom