Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

Ni hatari mkuu. Juzi nilienda kununua ndoo ya rangi ile kubwa nikaambiwa ni tsh 450k nawakati mara ya mwisho mwaka uloisha mwishoni nilinunua kwa 300k [emoji22][emoji22]
Nondo milimita 12 toka elf 12 hadi 22,wire mesh toka elf 30 hadi elf 60.
 
Halafu wanasema TANESCO inajiendesha kihasara. Wizi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…