Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Shamba la bibi, bila kupigwa Hakuna maendeleoTunapigwa tusaidie tufanyeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamba la bibi, bila kupigwa Hakuna maendeleoTunapigwa tusaidie tufanyeje?
Risk ya kulipuka ikoje ebu fafanua mkuu. Tukajifunze Morocco.Solar risk Sana kulipuka
Je inawezekana endapo kampuni husika inauswahiba wa moja kwa moja na Waziri ufisadi utakosekana?Mradi wa Umeme wa upepo ni hatua nzuri, hata solar energy ni miradi mizuri endapo tu hakuna ufisadi ndani yake.
Nipitie hapa KwalaWewe utakuwa wapi twende pamoja naona unanituma eeeh
Boss ukisha anza na very huwezi kumalizia na.... lly hapo ulitakiwa uishie stategic tofauti na hapo kiwe ni kiingereza version ya kipareWatu wako very strategically
Chakushangaza mtaani hakuna hela mkuu. Vitu vinapanda bei daily.Bora hela zirudi mtaani
Nyakati hizi hata kinyerezi 2 ingeboost kiasi tatizo la umeme sema wapigaji ndio wamedhamiria kutupigaHuyu jamaa badala ya kuelekeza nguvu JNHP anajisemeza hovyo tu na maproject kibao ,Ila yana mwisho haya
We Acha vifaa vya ujenzi ugusiChakushangaza mtaani hakuna hela mkuu. Vitu vinapanda bei daily.
Ni hatari mkuu. Juzi nilienda kununua ndoo ya rangi ile kubwa nikaambiwa ni tsh 450k nawakati mara ya mwisho mwaka uloisha mwishoni nilinunua kwa 300k [emoji22][emoji22]We Acha vifaa vya ujenzi ugusi
Inawezekana kukawepo na conflict of interest. Ni muhimu kuhakikisha kuwa hatupati hasara kutokana na hilo. Kusiwepo na upigaji.Je inawezekana endapo kampuni husika inauswahiba wa moja kwa moja na Waziri ufisadi utakosekana?
Nondo milimita 12 toka elf 12 hadi 22,wire mesh toka elf 30 hadi elf 60.Ni hatari mkuu. Juzi nilienda kununua ndoo ya rangi ile kubwa nikaambiwa ni tsh 450k nawakati mara ya mwisho mwaka uloisha mwishoni nilinunua kwa 300k [emoji22][emoji22]
Mama hana sauti
Hilo ni bunge la ndugai na Magufuli overHuu ndio utakuwa mtihani mkubwa kwa bunge hili la Ndugai.
Wakiruhusu tu,2025 piga chini wooote!
Kupanda bei vitu maana yake kuna demand kubwa which means Kuna over consumption, which means kuna hela , which means, supply haikidhi mahitajiChakushangaza mtaani hakuna hela mkuu. Vitu vinapanda bei daily.
Bila upigaji hakunogi mkuuInawezekana kukawepo na conflict of interest. Ni muhimu kuhakikisha kuwa hatupati hasara kutokana na hilo. Kusiwepo na upigaji.