Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

Upigaji unarudi kwa kasi sana
Hivi ni utawala gani nchi hii haujawapi kutupiga?? Na ukitaka uone upigaji ruhusuni CAG akague miradi na mikopo yote ya awamu ya tano tokea 2015 - 2021...
 
Huyu jamaa badala ya kuelekeza nguvu JNHP anajisemeza hovyo tu na maproject kibao ,Ila yana mwisho haya
Sasa aelekeze nguvu JNHP maji utakojoa mkojo wako bwawa lijae? Haya je crane ya Tani 27 mmeshapata? Haya pesa zipo au ndiyo mnavizia hizi hizi za Corona??
 
upigaji ndo shughuli kuu ya chama chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…