igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hivi ni utawala gani nchi hii haujawapi kutupiga?? Na ukitaka uone upigaji ruhusuni CAG akague miradi na mikopo yote ya awamu ya tano tokea 2015 - 2021...Upigaji unarudi kwa kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni utawala gani nchi hii haujawapi kutupiga?? Na ukitaka uone upigaji ruhusuni CAG akague miradi na mikopo yote ya awamu ya tano tokea 2015 - 2021...Upigaji unarudi kwa kasi sana
Sasa aelekeze nguvu JNHP maji utakojoa mkojo wako bwawa lijae? Haya je crane ya Tani 27 mmeshapata? Haya pesa zipo au ndiyo mnavizia hizi hizi za Corona??Huyu jamaa badala ya kuelekeza nguvu JNHP anajisemeza hovyo tu na maproject kibao ,Ila yana mwisho haya
upigaji ndo shughuli kuu ya chama chetuKampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu 😂.
Je, hatupigwi kweli?!