Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu 😂.
Je, hatupigwi kweli?!