Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Ukimtanguliza Mungu ndio hufi?Alishatamka mara nyingi kwa kinywa chake kuwa hakuwa tayari kuongeza muda kutawala,wacheni kuzua na kumlisha maneno mzee wa watu.Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Mimi naoendekeza katiba ibadilishwe tukabaki na yeye tu, jamani maana naona tatizo la Pres sure,vidonda vya tumbo, na stress nililokuwa nalo limeisha, Asante Mola!Mimi naona apewe tu hadi 2035
#chawa_wa_samia_suluhu_hassan
Ningekutukana tusi ila wewe ni mpuuzi tu. Hakuna siku JPM alisema ataongeza muda! Muogope maulana au wewe ni kafiriKuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Apewe mi5×5 tena , apende asipendeNina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani,kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa,kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza kutuongoza kwa miaka 14 iwapo atachaguliwa katika chaguzi mbili zijazo au atatuongoza kwa miaka hii minne na miaka 5 ijayo kwa hiyo kuwa raisi kwa miaka 9? Naona kwa sasa hili hakuna anayelizungumzia sote tumebaki kushangilia tu.Je katiba inasemaje kutokana na hali tuliyonayo sasa?
Mkuu hii comment yako, Kuna watu wakiiona watazimia. Believe me.Kisheria Mama anatakiwa kumaliza muda uliobaki mpaka 2025 na kiruhusiwa kigombea muhula mwingine mmoja 2025-2030.
Thubutu!Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea
Ila kuna kipindi alidokeza kuwa akiondoka madarkani hakuna mtu atakayeweza kumalizia miradi mikubwa aliyoanzisha. Vilevile Spika wa Bunge Mr. Job Ndugai alisema watapitisha bungeni sheria ya kumruhusu Hayati JPM ili aendelee kutawala kwa vipindi vingine.Ningekutukana tusi ila wewe ni mpuuzi tu. Hakuna siku JPM alisema ataongeza muda! Muogope maulana au wewe ni kafiri
Ni hitaji la katiba yetu mkuu.We Kama nani hadi useme ivyo,
Wewe na mwendazake,mwendazake na wewe,una uwezo wa kukalili kama mbwa,lkn huna uwezo wa kujifunza,Ingekuwa wewe ungeweza kufanya uho uzuzu,, yaani 2025 asigombee ili kupisha wasukuma au??
Yaan katiba inamruhusu kugombea nafasi kubwa ya urais kwa mara ya tatu mfululizo, eti asigombee ili kuwafurahisha nyinyi wasukuma wenye uchu wa madaraka,
Nadhani unafahamu jopo la watu wa karibu wanaomzunguka, ambao waliteswa wakati wa utawala wa mwendazake, kwaiyo watamchukulia fomu kwa lazima ili agombee kuanza rasmi awamu yake ya sita kwa vipindi viwili vya 2025 had 2035
Mkuu umekuwa msemaji Wa CCM siku hizi?Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea
Unakumbuka alimjibu vipi mzee ruksa ? Acheni upopoma kwa MarehemuIla kuna kipindi alidokeza kuwa akiondoka madarkani hakuna mtu atakayeweza kumalizia miradi mikubwa aliyoanzisha. Vilevile Spika wa Bunge Mr. Job Ndugai alisema watapitisha bungeni sheria ya kumruhusu Hayati JPM ili aendelee kutawala kwa vipindi vingine.
Mkuu mbona una Jazba sana. Tumia maneno yenye staha basi.Unakumbuka alimjibu vipi mzee ruksa ? Acheni upopoma kwa Marehemu
Kwakweli [emoji108]Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
"Aliyetaka kutawala maisha" Hii ulimsikia mwenyewe kuwa akitaka kutawala maisha au unamwekea maneno mdomoni? Mwenyewe si alishasema kuwa hatoobgeza ata dakika 1 kwenye utawala wake?Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Nani amezitoa?Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea
Kwa katiba ipi?! Katiba iliyopo ni ukomo wa mihula miwili, na yeye mwenyewe alinukuliwa mara kadhaa akisema ataheshimu katiba dhidi ya kujiongezea muda.
Hayupo kwasasa, tujadili yaliyopo.
Hili alilisema mwenyewe siku anaapisha kuhusu wanaopita pita kujiandaa Na urais 2025 watulie muda bado Na chama kinawaangalia closely!Taarifa za uhakika ni kwamba hata 2025 hatogombea
Ilo hitaji la katiba tungewaona hamna agenda ya ukabila na uoga, Kama mngesema izo ajenda zenu kipind cha mwendazake,Ni hitaji la katiba yetu mkuu.
Mnachekesha wasukuma, mbona anasema ye na Magufuli ni kitu kimoja" lakini Bado anafanya overall kwenye engine,Hili alilisema mwenyewe siku anaapisha kuhusu wanaopita pita kujiandaa Na urais 2025 watulie muda bado Na chama kinawaangalia closely!