Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Ukimtanguliza Mungu ndio hufi?Alishatamka mara nyingi kwa kinywa chake kuwa hakuwa tayari kuongeza muda kutawala,wacheni kuzua na kumlisha maneno mzee wa watu.Kuna aliyetaka kutawala maisha , leo yuko wapi ? Mtangulize Mungu kwanza
Waliokuwa wakitoa hayo matamko ya kutaka kuongezewa muda ni haki yao kikatiba kutoa maoni.