denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Ndugai kwa uelewa wake mfupi anadhani yeye ndie bunge, kumbe yeye ni msimamizi wa shughuli za bunge, hajui kutofautisha majukumu kati ya Bunge na Spika.
Mfano: Kwenye kuapisha wabunge, wanatakiwa kuapa mbele ya Bunge (kulingana na sheria) sio mbele ya Spika, wale wabunge ni watumishi wa Bunge, wako chini ya sheria na taratibu za Bunge kutimiza majukumu yao, sio sheria za Spika, Spika ni msimamizi tu wa shughuli ile.
Lakini Ndugai anaenda kuwaapishia gereji, yeye ndie kiongozi wa Bunge linalotunga sheria, angetegemewa asimamie sheria hizo, lakini bahati mbaya, yeye ndie kiongozi wa kuzivunja sheria.