Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Nimeshawaambia....siasa ya Tanzania ni upuuzi nyie bado mnajihangaisha tu
 
26BE52AE-500E-4250-A236-587F158A37A5.jpeg

Katiba ina contradiction nyingi tu maana inasema pia uamuzi wa mtu kubaki mbunge au la ni suala la mahakama kuu sio chama cha siasa.

You can argue ili kuwa mbunge lazima uwe mwanachama wa siasa, but that is not specific too kwenye katiba hiyo hiyo.

F7A74830-3792-472F-A878-BC9AC5E1226E.jpeg

Haisemi lazima uwe na vigezo vyote vitatu as a restriction or endorsement; sasa unajiuliza what was the literal intention pia ya kusema ku challenge ubunge wa mtu ni jambo la mahakama. Ina maana katiba inatambua unaweza bakiza ubunge wako hata bila ya kuwa mwanachama ukishateuliwa katika hiyo nafasi.

Hapa sasa ndio tunaitaji kuona serious constitutional lawyers waki debate ili swala sio bush lawyers wa JF (including my self).

Speaker yeye kasema ataendelea kuwatambua and rightly so kwa mujibu wa katiba.

Kwa ivyo hakina Mdee wakiamua kuendelea ubunge ni jukumu la CDM kwenda mahakama kuu kuwakana na kesi ya kikatiba ianzie hapo kuhusu ilo swala; tupate ata case law moja ya kurudia in the future inakuwaje mmbunge anapofukuzwa chama au ile ya CUF hukumu ilisemaje.
 
Malizia shenzi pumbaf ndudai sipika 😅😅 baada ya kuona umepiga kelele jf wamekusahau kwenye uteuzi unaanza kumdis spika wetu😂😂
Ahaaaa. Uteuzi ili niwe nani? Mtendaji wa kata? None sense.
 
Ndugai anatia aibu Taifa hili basi tu watu wanajifanya vipofu kabisa ila tutalipa huu ujinga siku moja
...Upo sahihi...

Kwa Sasa hili taifa limejaa unafiki tu na kila mtu anaangalia zaidi maslahi yake.

Ila kama taifa tutalipia tu hili huko mbeleni...'tutavuna tunachokipanda'.
 
Narudia tena... serikali haifanyi kazi kwa matamko. Speaker anapelekewa taarifa na Tume, kama tume haikupeleka taarifa, unataka Spika afanyaje? Na kama Tume haikupeleka taarifa, nendeni mkaishitaki tume.
Hii si issue ya CHADEMA tena, hii ni yetu watanzania kwani akina Mdee hawapo CHADEMA - wametimuliwa. Spika ameamua waingie bungeni kwasababu yeye anataka hivyo, pengine anafukuzia mzigo (ulimwona alivyomtamani dadake Bashe)

Kinachoonekana moyoni mwa speaker ni utashi. Yupo tayari kuvunja katiba ikiwa itamfurahisha yeye.

Akina halima waache wale mshahara kwani kodi zetu ngapi zinaliwa bila utaratibu?
 
Hii si issue ya cdm tena, hii ni yetu watanzania kwani akina Mdee hawapo cdm- wametimuliwa. Spika ameamua waingie bungeni kwasababu yeye anataka hivyo, pengine anafukuzia mzigo (ulimwona alivyomtamani dadake Bashe)

Kinachoonekana moyoni mwa speaker ni utashi. Yupo tayari kuvunja katiba ikiwa itamfurahisha yeye.

Akina halima waache wale mshahara kwani kodi zetu ngapi zinaliwa bila utaratibu?
Ishu sio mishahara ya akina Halima. Ishu ni kusimamia document ambayo ni Supreme kwenye nchi yetu.
 
"......... mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge." - (Wale 19 hawakupewa ridhaa na chama chao, bali walipewa ridhaa ya kuapishwa kuwa wabunge na mamlaka nyingine ambayo siyo CHADEMA) kwa hiyo hawatapoteza ubunge wao na mimi nawashauri wasijiuzuru kwa sababu spika amesema ni wabunge halali na CDM haina ugomvi na ubunge wao kama watakuwa wabunge wa kujitegemea.
 
Nini umeandika?
 
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.

Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebadilishwa? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya spika?

Jambo la msingi ambalo Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamlia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimesoma mara kumi kumi na sikuamini kama ni wewe ndio umeandika, Hongera mkuu
 
Wala usijisumbue mkuu kuumiza akili zake, hakuna sheria wala katiba inayofuatwa kwa sasa, labda miaka 20 ijayo tena.
 
Hii si issue ya cdm tena, hii ni yetu watanzania kwani akina Mdee hawapo cdm- wametimuliwa. Spika ameamua waingie bungeni kwasababu yeye anataka hivyo, pengine anafukuzia mzigo (ulimwona alivyomtamani dadake Bashe)

Kinachoonekana moyoni mwa speaker ni utashi. Yupo tayari kuvunja katiba ikiwa itamfurahisha yeye.

Akina halima waache wale mshahara kwani kodi zetu ngapi zinaliwa bila utaratibu?
Mimi ninachosimamia sio Ndugai, ninachosimamia ni taratibu. Ndugai bado hajavunjwa katiba sasa hivi. CHADEMA wafuate taratibu, then waje kulalamika. Kama walivyokuja na taarifa kwamba hata form za kina Mdee bado zipo ofisini kwao, wafanye hivyo.

Kama unafuatilia siasa za US, utaona team Trump inavyodhalilika mahakamani. Ni rahisi kupiga domo, lakini bila documentation hamna kitu mfumo unaweza kufanya
 
Ishu sio mishahara ya akina Halima. Ishu ni kusimamia document ambayo ni Supreme kwenye nchi yetu.
Hatuna chombo madhubuti cha kusimamia katiba kutokana na madhaifu ya katiba hiyohiyo.

Nyerere na baadhi ya marais waliopita waliweza kuongoza kwa katiba hii kwa kuwa walikuwa na hekima.

Kimeingia kizazi hiki cha ajabu, hakika tuna hali ngumu. Mana hata watu wakipigia kelele katiba mpya wenye kuifanyia mchakato mzima ni wao wenyewe , ambapo nina hakika ikitokea kwasasa tutapata katiba mpya lakini itakuwa si katiba bali KITUKO.

Hii nchi imeshaporomoka na jinsi ya kujinasua ni ngumu sana sasa.

Namwelewa JK sasa kwanini ule mchakato aliutupilia kapuni.
Maana pia tulikuwa tunaenda kupata kituko badala ya katiba mpya. Wabunge walikuwa wankata kila jambo jema na kuongeza ya kwao.
 
Nadhani spika anasubiri barua rasmi kutoka kwa KM kwa kumfahamisha juu ya kupoteza uanachama kwa wanachama hao.Lakini hilo pia halimzuii Ndugai kutoa maoni yake binafsi kwa maana yeye ni mwanachama wa CCM.Nadhani CHADEMA waendelee na kufuata utaratibu.
Sasa spika anasubiri barua rasmi ya kazi gani? CHADEMA wamewafutia wale akina mama uanachama tu, mambo ya ubunge wao wala hawana mpango nayo. Kama wataendelea na ubunge au vinginevyo hiyo nadhani haikuwa kazi ya kikao kile. Na hakuna kikao kingine kilichokaa kuzungumzia ubunge wa wale 19.
 
Watanzania sometimes tunahemkwa sana. Ndugai kapewa majina wa wabunge na mamlaka ya uteuzi i.e Tume ya Uchaguzi. Ili asiwatambue, mamlama hiyo hiyo inabidi impe taarifa. Na tume haiwezi kufanya hivyo mpaka ipewe taarifa na chama. Hayo yamefanyika? Kama bado tuwe wapole mpaka yafanyike.
Yalifanyika kwa Mwambe na kwa akina Silinde, Lijuakali, Lwakatare n.k, lakini matokeo yake yalikuwaje mjomba?.
 
Wala usijisumbue mkuu kuumiza akili zake, hakuna sheria wala katiba inayofuatwa kwa sasa, labda miaka 20 ijayo tena.
Mbona hatuja sikikia JPM kama C in C akisema kila mtanzania kulala mwisho saa mbili usiku?
 
Back
Top Bottom