Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Alipoenda kutibiwa India akakaa sana huko nina wasiwasi na whahindi walichofanya, kuna fyuzi ziling'olewa kwa huyu baba. Yaani hana hata aibu. Lakini haya mambo yana mwisho
Mtu aliyetumia Billion 12 kutibiwa atajali katiba huyu?
 
Mimi ninachosimamia sio Ndugai, ninachosimamia ni taratibu. Ndugai bado hajavunjwa katiba sasa hivi. CHADEMA wafuate taratibu, then waje kulalamika. Kama walivyokuja na taarifa kwamba hata form za kina Mdee bado zipo ofisini kwao, wafanye hivyo.

Kama unafuatilia siasa za US, utaona team Trump inavyodharirika mahakamani. Ni rahisi kupiga domo, lakini bila documentation hamna kitu mfumo unawezakufanya
Chadema wameamua kuwafukuza uanachama wanachama wao kwa vifungu vya katiba yao.

Hivi sasa ubunge wa akina Halima hauwahusu.

Hawana haja ya kwenda mahakamani kumfukuza uanachama halima.
 
Chadema wameamua kuwafukuza uanachama wanachama wao kwa vifungu vya katiba yao.

Hivi sasa ubunge wa akina Halima hauwahusu.

Hawana haja ya kwenda mahakamani kumfukuza uanachama halima.
Wapeleke taarifa Tume
 
Tukumbushane tu,
Ukitetea uovu ujue unapoteza muda bure kwani uovu haushindi
 
Bora tungeambiwa hivyo, wala sio kubwa ila inavunjwa sanaaa kwa wenye uelewa wanajua mengi sana
Nafikiri hila la Spika ni dhahiri kabisa Katiba imevunjwa tena ibara ya 71(1)(e). Huko kwingine ni ibara gani inavunjwa?
 
Sheria au katiba ni kama glass muda wowote inaweza kuvunjika au kupindishwa kwa ajili ya maslahi ya wachache.
 
Nafikiri hila la Spika ni dhahiri kabisa Katiba imevunjwa ten ibara ya 71(1)(e). Huko kwingine ni ibara gani inavunjwa?
Yapo mengi tu, umesahau hata lile la Lema kunyimwa dhamana kwa maagizo toka juu? Na mengine mengi tu.
 
"......... mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge." - (Wale 19 hawakupewa ridhaa na chama chao, bali walipewa ridhaa ya kuapishwa kuwa wabunge na mamlaka nyingine ambayo siyo CHADEMA) kwa hiyo hawatapoteza ubunge wao na mimi nawashauri wasijiuzuru kwa sababu spika amesema ni wabunge halali na CDM haina ugomvi na ubunge wao kama watakuwa wabunge wa kujitegemea.
Hahahaahhaahhaa Ubunge wakujitegea nini?
 
Nimekuambia zaidi ya mara moja kuwa hayo mambo nimeona kwa macho yangu. Achia mbali wakala watatu wa upinzani waliozuiwa kuingia vituoni.
Ulishudia kwa macho yako kura zinaibiawa? Au picha za wahuni wa Twitter ndio ushahidi wako?
 
Siamini vipi? Mimi nimeona kabisa ibara ya 71(1)(e) imevunjwa.
Kafuatilie ndio utajua pia,
Mfano ishu ya huyu nusrat kuzuia kwa miezi mi4 bila dhamana afu anakuja tolewa kizembe nayo unaona sheria ilikua sawa? Em jiongeze mkuu. Sio kila kitu kitakua wazi km la ndugai mbela ya macho yako.
 
Baada ya mtu mmoja kukanyaga kanyaga katiba,sheria,kanuni na taratibu,kila mmoja huko chamani na serikalini ni full kuiga bwana yule.
Hakuna "rule of law" tena huko Tanzania.
Kila mtu ni kambale.
Umesema vema mkuu. Uwendawazimu wote unaoendelea hapa nchini umeanzishwa na una baraka zote za yule mzee mpaka nimeanza kuamini uenda kweli sio mtanzania. Yaani kavuruga kila kitu. Sasa mfumo mzima umejaa wendawazimu!
 
chagu wa malunde na johnthebaptist , wengine tuliwaambia muwe mnaandika mambo ya kutetea nchi/taifa, na si kutetea awamu, serikali, chama au kiongozi fulani.

Hili uliloliandika kwenye huu uzi ndio Mtanzania yeyote timamu kiakili analopaswa kufanya.

Kuitetea nchi/taifa na si kutetea chama au serikali au kiongozi fulani.

Ninachoshukuru ni kuwa mkipata ufahamu timamu, mnajirudi.

Kongole kwa bandiko.

Tuendelee kupigania taifa kwa ustawi wa Tanzania ya sasa na ya vizazi vijavyo.

Vyama vitapita.
Awamu zitapita.
Viongozi watapita.
Taifa litaendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom