King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
MKUU NDUGAI Anakwama Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai ni mpumbavu. Ana matatizo kichwani. Ni aibu kuwa na spika dhaifu asiyeweza kupanga hoja kiasi hiki.
Ndugai ni mpumbavu. Ana matatizo kichwani. Ni aibu kuwa na spika dhaifu asiyeweza kupanga hoja kiasi hiki.
Mkuu,Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.
Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebadilishwa? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya spika?
Jambo la msingi ambalo Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamulia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wacha kujichanganya.View attachment 1638635
Katiba ina contradiction nyingi tu maana inasema pia uamuzi wa mtu kubaki mmbunge au la ni suala la mahakama kuu sio chama cha siasa.
You can argue ili kuwa mmbunge lazima uwe mwanachama wa siasa, but that is not specific too kwenye katiba hiyo hiyo.
View attachment 1638637
Aisemi lazima uwe na vigezo vyote vitatu as a restriction or endorsement; sasa unajiuliza what was the literal intention pia ya kusema ku challenge ubunge wa mtu ni jambo la mahakama. Ina maana katiba inatambua unaweza bakiza ubunge wako ata bila ya kuwa mwanachama ukishateuliwa katika hiyo nafasi.
Hapa sasa ndio tunaitaji kuona serious constitutional lawyers waki debate ili swala sio bush lawyers wa JF (including my self).
Speaker yeye kasema ataendelea kuwatambua and rightly so kwa mujibu wa katiba.
Kwa ivyo hakina Mdee wakiamua kuendelea ubunge ni jukumu la CDM kwenda mahakama kuu kuwakana na kesi ya kikatiba ianzie hapo kuhusu ilo swala; tupate ata case law moja ya kurudia in the future inakuwaje mmbunge anapofukuzwa chama au ile ya CUF hukumu ilisemaje.
Chadema haina shida na ubunge wa hao covid 19...ila hawatambuliki kama wabunge wa CDM...$900m za dezo hakuna kwa miaka mitanoNdio maana Ndugai anasema wateule 19 walioapa, bado wanawatambua kuwa ni Wabunge wa Bunge la JMT, unless waamue kujiudhuru wenyewe. "Yanayoendelea huko Chadema ni yao"
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.
Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebadilishwa? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya spika?
Jambo la msingi ambalo Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamulia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani spika anasubiri barua rasmi kutoka kwa KM kwa kumfahamisha juu ya kupoteza uanachama kwa wanachama hao.Lakini hilo pia halimzuii Ndugai kutoa maoni yake binafsi kwa maana yeye ni mwanachama wa CCM.Nadhani CHADEMA waendelee na kufuata utaratibu.
Sijui taarifa tume, sijui taarifa kwa spika ili iweje?Lazima kwanza Tume ipewe na chama taarifa rasmi ya kufuta wanachama. Kisha Tume inampa taarifa Spika. Ubunge haufutwi kupitia vyombo vya habari!
Hana lolote la maana aliloandika huoni anavyojibu takataka, anajiona kaanzisha bonge la Uzi.Nimesoma mara kumi kumi na sikuamini kama ni wewe ndio umeandika, Hongera mkuu
Mambo mengine best tuwaachie constitutional lawyersWacha kujichanganya.
Katiba yetu iko very clear, ili mtu awe mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa, ukishavuliwa uanachama na chama chako automatically unapoteza sifa hii, na hata Spika hana mamlaka yoyote ya kuendelea kumtambua mtu huyo kama mbunge, kwani kwa kufanya hivyo anakuwa ameingilia maamuzi ya chama ambacho kipo halali kisheria (hili nalo ni kosa).
Kuendelea kumtambua mtu huyo kama mbunge unakuwa umevunja sheria nyingine, nchi yetu hairuhusu watu binafsi kuwa wabunge, ukishavuliwa uanachama na chama cha siasa unakuwa huru hivyo hustahili tena kuwa muwakilishi bungeni, au uniambie akishavuliwa uanachama anakuwa mbunge kwa ruhusa ya Spika? hayo mamlaka Spika ameyapata kwa sheria ipi?
Kwa hili hakuna mahakama iliyo huru itakayopata shida kutafsiri hiyo sheria, labda mahakama hizi za "CCM" ndio zishindwe, hakuna mgogoro wowote hapo wa kikatiba.
Chadema wangetakiwa waende mahakamani kama kuna mgogoro, lakini hakuna, wamemaliza kazi yao kama chama kwa kufuata taratibu.
Wanachotakiwa kufanya Chadema kwasasa ni kuandika barua kuijulisha ofisi ya Spika kwamba hao wasaliti sio wanachama wao tena, Spika ndio aangalie sheria inasemaje aamue, kama alivyowahi kufanya kwa wale wabunge wa CUF, this is very short, simple and clear... no messing around.
Madhara ya yule bundi aliyetinga bungeni ndiyo yameanza kuonekana kupitia Ndugaye
Kwani hawajafanya hivi? Mbona Spika anaongea ubabe kuwa Mnyika na Mbowe hawawezi kufukuza mtu?Lazima kwanza Tume ipewe na chama taarifa rasmi ya kufuta wanachama. Kisha Tume inampa taarifa Spika. Ubunge haufutwi kupitia vyombo vya habari!
Unataka kusema kuwa yeye ni sawa na king'amuzi tu na mwenye remote yupo rubondo?Tatizo sio duni tatizo ana controliwa
We ni mpuuzi mmoja ambae unajifanya unajua wakati ni fala tu. Katiba ina sections. Subsection gani unayo isema ipo kwenye katiba?Mambo mengine best tuwaachie constitutional lawyers
Hiyo aspect ya chama mnayoitumia imetajwa sehemu moja tu tena subsection yenyewe it’s literal meaning is weak argument to present at court.
Katiba inatambua kiongozi wa serikali anaweza teuliwa kuwa mmbunge anytime na ikitokea anatakiwa aache nafasi yake serikalini. On the other hand Civil Servants wanatakiwa wasiwe na party affiliations.
Kesi ya CUF mahakama iliwatambua wabunge waliofukuzwa uanachama na hii ya Hakina Mdee ikienda mahakamani hakuna much sufficient difference to distinguish the two cases; in maana precedent ni case ya CUF.
83 ya katiba inasema uamuzi wa suala la ubunge (meaning kama ubunge wa mtu unakuwa contested mahakama itaamua).
Whereas 71 (e) inasema iwapo mmbunge atakapo acha kuwa mwanachama i.e kwa ridhaa yake; aisemi atakapofukuzwa.
Kwa ivyo katiba pekee is vague unless kama kuna sheria inayotoa clarification zaidi.
Kesi kama hiyo mahakamani tayari kuna literal conflicts kwenye katiba kwenye swala zima la uanachama na mmbunge. Na mgogoro wowote wa sheria, you and I know ikishatoka bungeni chombo chenye kuamua ni mahakama.
Ila ukishakuwa mfuasi wa CDM kikawaida wao ndio; jurists, prosecutioners and judges. Especially viongozi wao wakiamua na Lissu akisema apparently ndio Gwiji wa sheria dunia nzima kwa mujimu wa wafuasi wa CDM.
Binafsi nataka kusikia mjadala wa lawyers kuhusu ili swala mahakamani kuliko majadiliano yetu ya JF bush lawyers.
Ndugai ana ufupi wa kimo na akili.Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.