Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba...
Ni kiburi na matokeo ya kupitishwa bila kupingwa
 
Watanzania sometimes tunahemkwa sana. Ndugai kapewa majina wa wabunge na mamlaka ya uteuzi i.e Tume ya Uchaguzi. Ili asiwatambue, mamlama hiyo hiyo inabidi impe taarifa. Na tume haiwezi kufanya hivyo mpaka ipewe taarifa na chama. Hayo yamefanyika? Kama bado tuwe wapole mpaka yafanyike.
CHADEMA
Hata kama siyo nyie mliwasilisha majina ya COVID19 kwa mujibu wa sheria na taratibu, kwa nini hamjapeleka barua NEC na kopi kwa spika kueleza juu ya kuwafuta uanachama Covid19, ili ubunge wao feki ukome rasmi?!!!

Na je, Ndugai hawezi kuburuzwa mahakamani kwa kudharau Watanzania na Katiba yao?
 
Ila mshikaji anazingua, anajisahau sana kama Bashite. Bichwa kubwa ubongo wa mende.
 
FB_IMG_1606766836882.jpg
 
Ndio maana Ndugai anasema wateule 19 walioapa, bado wanawatambua kuwa ni Wabunge wa Bunge la JMT, unless waamue kujiudhuru wenyewe. "Yanayoendelea huko Chadema ni yao"
 
Imenibidi nirudi katika video ya Freeman Mbowe, nitafute ni sehemu gani alipotoa tamko la kuwafukuza ubunge hao wanawake 19, sikupaona wala kupasikia. Alichotamka ni kuwavua nyadhifa zao ndani ya Chadema na kuwavua uanachamawa Chadema. Sasa hayo ya kuvuliwa ubunge yanatoka wapi? Hivi huyu Ndugai ni mzima kweli jamani?
 
alishawatimua Bulaya na Mdee kwa zaidi ya mwaka , eti leo kawa mtetezi !
Shetani ili akunase vizuri, kwanza hujifanya malaika.

Alishindwa kumtetea Lisu wakati akiwa kwenye hatari kifo, leo eti awe mtetezi wa wabunge wa upinzani.

Nina hakika ndugai ni mfano mxuri wa shetani katika umbile la mwanadamu. Mungu wetu mwenye nguvu, tunaomba laana ya shetani huyu iwe juu yake na wana wake na wana wa wana wake mpaka kizazi cha kumi.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo laana iwe kwa wanawake nawana wa wanawake ukimaanisha nini mzee, kwani wanawake na hao wana wa wanawake wanamakosa gani, wanawake ni mama nadada zetu
 
Back
Top Bottom