Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.

Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa Chadema waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya JMT?

Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya JMT mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya JMT imebadilishwa? Katiba ya JMT haina mamlaka juu ya spika?

Jambo la msingi ambalo Spika wa JMT anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamlia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya JMT.
Nimesoma heading tu, nachangia hili:

Tuna miaka kadhaa sasa tangu awamu hii kipenzi cha wanyonge iingie madarakani ambapo katiba inakanyagwa vyovyote vile na hawa wandewa ili mradi tu inawafurahisha wao.
 
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.

Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa Chadema waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya JMT?

Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya JMT mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya JMT imebadilishwa? Katiba ya JMT haina mamlaka juu ya spika?

Jambo la msingi ambalo Spika wa JMT anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamlia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya JMT.
Ndugai ni fala, anaamini ile Sheria ya kutoshitakiwa waliyojitungia yeye, Magufuli na Ibrahim Juma ndo inamfanya awe juu ya Katiba, Fala!
 
Kumbe na taarifa za Mwambe, Silinde, na Lijuakali nazo hazikufika?!

Mnaimba tu ngonjera.
Narudia tena... serikali haifanyi kazi kwa matamko. Speaker anapelekewa taarifa na Tume, kama tume haikupeleka taarifa, unataka Spika afanyaje? Na kama Tume haikupeleka taarifa, nendeni mkaishitaki tume.
 
Ndugai kwa uelewa wake mfupi anadhani yeye ndie bunge, kumbe yeye ni msimamizi wa shughuli za bunge, hajui kutofautisha majukumu kati ya Bunge na Spika.

Mfano: kwenye kuapisha wabunge, wanatakiwa kuapa mbele ya Bunge (kulingana na sheria) sio mbele ya Spika, wale wabunge ni watumishi wa Bunge, wako chini ya sheria na taratibu za Bunge kutimiza majukumu yao, sio sheria za Spika, Spika ni msimamizi tu wa shughuli ile.

Lakini Ndugai anaenda kuwaapishia gereji, yeye ndie kiongozi wa Bunge linalotunga sheria, angetegemewa asimamie sheria hizo, lakini bahati mbaya, yeye ndie kiongozi wa kuzivunja sheria.
Mnaniudhi sana kama mnajua yote haya ila hamna ujasiri wa kuwaburuza watu hawa mahakamani.

Taifa hili linaponzwa na wasomi wasaliti, wanaojua mambo yanavyopaswa kuwa ila hawako tayari kuyatetea
 
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba.

Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo yameweka bayana kuwa hakuna mtu au sheria yoyote itayotungwa itakuwa kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kama ninakosea niko tayari kukosolewa, ibara ya 71 (1) (e) imeweka bayana kuwa mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge. Hii ni wazi wabunge 19 wa CHADEMA waliofukuzwa sio wabunge halali hata kama waliapishwa kwa kanuni za bunge. Na spika anawatetea kwa sheria gani, au kanuni gani ambazo zinakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Pia inasikitusha sana Spika wa bunge kudharau maoni ya wastaafu. Kwani ibara ya 71(1)(e) imefutwa? Kwani hii ibara haipo kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka spika Ndugai awe anadharau maoni ya wastaafu na kudai hawajui kinachoendelea? Nini hicho kinachoendelea? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imebadilishwa? Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya spika?

Jambo la msingi ambalo Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa akubumke ni kuwa bunge ni wananchi, ndio maana tunatuma wawakilishi wetu huko,la sivyo kila mtanzania angekuwa mbabe na kujiamlia anavyotaka. Na hakuna mtu kwenye nchi hii aliye juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katiba is on sabbatical leave.
 
Nakuuliza, ndio umeamka leo? Toka walivyoanza na sisi tukawa tunapiga kelele nyie si ndio mlikuwa mnasema nchi inayoonyeshwa? Toka lini genge la wezi wa kura wakaoogopa katiba?
Ulishudia kwa macho yako kura zinaibiwa? Au picha za wahuni wa Twitter ndio ushahidi wako?
 
Back
Top Bottom