Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Ndugai kwa uelewa wake mfupi anadhani yeye ndie bunge, kumbe yeye ni msimamizi wa shughuli za bunge, hajui kutofautisha majukumu kati ya Bunge na Spika.

Mfano: Kwenye kuapisha wabunge, wanatakiwa kuapa mbele ya Bunge (kulingana na sheria) sio mbele ya Spika, wale wabunge ni watumishi wa Bunge, wako chini ya sheria na taratibu za Bunge kutimiza majukumu yao, sio sheria za Spika, Spika ni msimamizi tu wa shughuli ile.

Lakini Ndugai anaenda kuwaapishia gereji, yeye ndie kiongozi wa Bunge linalotunga sheria, angetegemewa asimamie sheria hizo, lakini bahati mbaya, yeye ndie kiongozi wa kuzivunja sheria.
 
Watanzania sometimes tunahemkwa sana. Ndugai kapewa majina wa wabunge na mamlaka ya uteuzi i.e Tume ya Uchaguzi. Ili asiwatambue, mamlama hiyo hiyo inabidi impe taarifa. Na tume haiwezi kufanya hivyo mpaka ipewe taarifa na chama. Hayo yamefanyika? Kama bado tuwe wapole mpaka yafanyike.
 
Baadhi yenu mna vichwa vigumu sana, kama mawe.
 
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. CHADEMA ni mabadilko na uhuru wa kweli

Ndugai mmoja ni sawa na headless chicken
 
Tatizo viongozi wengi awamu hii ni wagonjwa
 
Pointless.
 
Ipo siku tutaelewana tu
 
Baadhi yenu mna vichwa vigumu sana, kama mawe.
Bora uwe na kichwa kigumu kuliko kuwa mwepesi mwepesi tu. Ukweli ndio huo, kama taarifa rasmi hazijafika kwa Ndugai, hawezi kutowatambua. Inakera lakini ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…