Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Huko walikoenda ndo kabisaaa!! Waswahili walioshindwa kusema my number wakaishia kusema manamba sioni wakiweza kusema yas kila wakati kwa consistency nzuri.

Hao wauzaji wataombwa ass mpaka watatoa.
Sipati picha ndugu zangu wamasai, wataishia kusema naomba nyasi
 
Bora wamebadili maana wahuni wametusumbua mno.

Ukisema tu Tigo unakuwa umezua taharuki.
 
Kampuni iliuzwa miaka 3 iliyopita kutoka Milicom na kununuliwa na Axian ya Madagascar. Baada ya hapo, wamiliki wapya walipewa muda wa kujiimarisha kabla hawajatambulisha brand yao. Na sasa ndio wameitambulisha kwa umma.
 
Kanuni ya kibiashara tu hamna lolote.
Sheraton iliitwa Hyatt,ikaitwa majina kibao badae . IPTL, Songas,Aggreco,Richmond majina yanabadilika tu watu wanapiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…