mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
YAS ila hiyo yas yenyewe ina nukta chini.Kwa hio inaitwa nini sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAS ila hiyo yas yenyewe ina nukta chini.Kwa hio inaitwa nini sasa hivi?
Logo ipo wapi?YAS ila hiyo yas yenyewe ina nukta chini.
Sipati picha ndugu zangu wamasai, wataishia kusema naomba nyasiHuko walikoenda ndo kabisaaa!! Waswahili walioshindwa kusema my number wakaishia kusema manamba sioni wakiweza kusema yas kila wakati kwa consistency nzuri.
Hao wauzaji wataombwa ass mpaka watatoa.
Kwanini qanqbadili badili majina? Hawa ni wezi kabisa hawqNashangaa huyu mkinga erythrocytes anaona ni Maajabu 😂😂😂
Kwa sababu Hisa za Mwanzo zilikuwa za CCM 😂Vodacom ndiyo kampuni pekee hawajawahi kufanya huo ujinga
Ndio Biashara inavyotakaKwanini qanqbadili badili majina? Hawa ni wezi kabisa hawq
HayaKwl IQ yako ni ndogo sana. Nyumbu ktk ubora wake
Kampuni iliuzwa miaka 3 iliyopita kutoka Milicom na kununuliwa na Axian ya Madagascar. Baada ya hapo, wamiliki wapya walipewa muda wa kujiimarisha kabla hawajatambulisha brand yao. Na sasa ndio wameitambulisha kwa umma.Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?

Umesema hawajatoa sababu, mimi naipata wapi?Hawajatoa sababu ya mabadiliko hayo we unayo sababu?.
Kanuni ya kibiashara tu hamna lolote.Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Mobitel to buzz to tigo then tigo to yasUnadhani ni mara ya kwanza wanabadili Jina? 😂😂
Mobitel - Buzz - Tigo - YasMobitel to tigo then tigo to yas
Logo ipo wapi?
Logo ipo wapi?
Yas ndio mdudu gani?JAMAN MIMI BINAFSI HILI JINA SIJALIPENDA NI BAYA TIGO NI BONGE MOJA LA JINA
Ndio inaelekea kupotea km Zantel km utani vile yaanMobitel - Buzz - Tigo - Yas
😃
Nyash el sadotiiJina jipya ni lipi?