Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Huko walikoenda ndo kabisaaa!! Waswahili walioshindwa kusema my number wakaishia kusema manamba sioni wakiweza kusema yas kila wakati kwa consistency nzuri.

Hao wauzaji wataombwa ass mpaka watatoa.
Sipati picha ndugu zangu wamasai, wataishia kusema naomba nyasi
 
Bora wamebadili maana wahuni wametusumbua mno.

Ukisema tu Tigo unakuwa umezua taharuki.
 
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Kampuni iliuzwa miaka 3 iliyopita kutoka Milicom na kununuliwa na Axian ya Madagascar. Baada ya hapo, wamiliki wapya walipewa muda wa kujiimarisha kabla hawajatambulisha brand yao. Na sasa ndio wameitambulisha kwa umma.
 
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Kanuni ya kibiashara tu hamna lolote.
Sheraton iliitwa Hyatt,ikaitwa majina kibao badae . IPTL, Songas,Aggreco,Richmond majina yanabadilika tu watu wanapiga hela
 
Attachments

  • Screenshot_20241126-203803_X.jpg
    Screenshot_20241126-203803_X.jpg
    47.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom