Nasikia ana mahusiano fulani ya kifamilia na Mama Kizimkazi!Kindamba hana skills zozote tusidanganyane hapa. Sema ana mtu wake kwenye mfumo tu ambaye anamsemea kwa wateuzi. Kindamba kabla ya kwenda TTCL alikuwa bank officer DTB TRUST Bank.
He is nothing but a lucky mediocre performer
alikuwa meneja wa Tawi la DTB Bank kisha kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL..Mgombea nafasi ya ubunge Ilala sambamba na Zungu..Mkuu Kindamba kabla ya kuwa mkuu wamkoa nadhani aliwahi kuwa director kwenye private sector sikumbuki ni wapi Ila naamini ni MTU sahihi ingawa dart ni janga it's a sinking ship
Wapo hapo kupiga pesa za ummaHata mawaziri inatakiwa wawe wanatuma maombi kwa nafasi wazitakazo na wapewe mikataba ya kazi walizoomba na ikitokea wakaenda kinyume na mkataba wa kazi wawajibishe kisheria.
Tumechoka na teuzi zisizo na tija
Hapo kaenda kukusanya fedha za kampenialikuwa meneja wa Tawi la DTB Bank kisha kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL..Mgombea nafasi ya ubunge Ilala sambamba na Zungu..
Kitaaluma sidhani Kama anaweza..Kiuzoefu sidhani Kama anaweza ila kisiasa anaweza
ChaguawenuMradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu kumpitisha?
Kwanini Tanzania tunaogopa kuzishindanisha hizi nafasi watu waombe? Nakumbuka Nehemia Mchechu aliwahi kushauri nafasi za wakuu wa mashirika ziwe zinaombwa badala ya kuwa na nafasi za uteuzi ila mfumo ulimpinga vikali.
Huyu Kindammba siyo mtu wakupewa shirika lililokufa kwasababu yeye mwenyewe ni tegemezi wa fikra na hajawahi kuwa mtu wakuchukua hatua pale anapoona ubadhirifu.
Lazima asingeteuliwa hivi hiviNasikia ana mahusiano fulani ya kifamilia na Mama Kizimkazi!
humu naona watu mnachanganya mafaili mara wengine DART mara wengine UDARTebu someni hapaMradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu kumpitisha?
Kwanini Tanzania tunaogopa kuzishindanisha hizi nafasi watu waombe? Nakumbuka Nehemia Mchechu aliwahi kushauri nafasi za wakuu wa mashirika ziwe zinaombwa badala ya kuwa na nafasi za uteuzi ila mfumo ulimpinga vikali.
Huyu Kindammba siyo mtu wakupewa shirika lililokufa kwasababu yeye mwenyewe ni tegemezi wa fikra na hajawahi kuwa mtu wakuchukua hatua pale anapoona ubadhirifu.
Kwani maza hapigigagi pesa za wananchi?Wapo hapo kupiga pesa za umma
Nimeshajifunza Tanzania ukiona mtu ameenda kukaa nje ya nchi ukubwani kutafuta maisha huko kama diaspora wengine. Baada ya kurudi kwa ridhaa yake mwenyewe mara unamuona serikalini na kupewa nafasi mbali mbali hasa ndani ya civil kuna uwezekano mkubwa alikuwa mtu wao huyo kitambo tu.Kazi Maalumu yule jamaa kama Athuman Kihamia pia maana jamaa alitumika sana pale NEC kuvuruga matokeo ya uchaguzi!
Huwezi kuwa na rafiki jangili kama wewe siyo jangiliKwani maza hapigigagi pesa za wananchi?
Huyo maza na hao chawa ni pipa na mfuniko, so asiwakane.
SiJui cv ya huyu mtu kama kuna mtu anayo atuwekee. Lakini nahisi makosa makubwa yanafanyika. Yaani mtu alikua mkuu wa mkoa naogopa labda amewekwa hapo walikua wanatafuta mahali pa kumdump. Hawa wanasiada hawawezi kuendesha biashara maana wamezoea hela ya bajeti ya serikali ije wale sio kuzalisha mali au huduma kwa faida. Nchi ina chuo cha usafiri nilifikiri wangempata mtu mwenye elimu ya juu na uzoefu kwenye usafiri. Juzi hapa Ali Karavina mwenye taaluma ya juu kwenye usafiri na uzoefu aliteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya TRC. Kwa uteuzi kama huo unaona kabisa nia njema kuimarisha shirika. DART nishirika muhimu sana tuone wenye taaluma wakiendesha sio wanasiasa.Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu kumpitisha?
Kwanini Tanzania tunaogopa kuzishindanisha hizi nafasi watu waombe? Nakumbuka Nehemia Mchechu aliwahi kushauri nafasi za wakuu wa mashirika ziwe zinaombwa badala ya kuwa na nafasi za uteuzi ila mfumo ulimpinga vikali.
Huyu Kindammba siyo mtu wakupewa shirika lililokufa kwasababu yeye mwenyewe ni tegemezi wa fikra na hajawahi kuwa mtu wakuchukua hatua pale anapoona ubadhirifu.
Nimeelewa lakini hiyo Udart bado haijawa rasmi kampuni binafsi bado inahodhiwa na serikali ndiyo maana hata Mtendaji mkuu wake anateuliwa na Rais,rai yangu waibinafsishe Udart iwe kampuni binafsi na waingize na kampuni nyingine hata mbili kila ruti hii ingesaidia kuleta ufanisi katika huduma ya usafiri kwenye njia za Dart.TOFAUTI YA DART NA UDART
DART ni taasisi ya serikali yenye hadhi ya wakala kama alivyo TANROADS, REA, TEMESA, nk na kirefu chake ni Dar es Salaam Rapid Transit Agency au Wakala wa Usafiri wa Haraka Dar es salaam.
Taasisi hii imeundwa kwa mujibu wa tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa jiji la Dar es Salaam. Wakala inakusudia kufikia malengo yafuatayo:
a)Kuanzisha na kuendesha mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka kwaaajili ya Dar es Salaam, yatakayotumia jina la DART;
b)Kuhakikisha mtiririko bora wa usafiri kwenye mitaa na barabaraza mjini, na
c)Kuhakikisha usimamizi wa wakala wenye ufanisi.
Na Je, UDART ni nini?
UDART ni kampuni binafsi inayoendesha magari yaendayo haraka, kirefu chake ni USAFIRI DAR ES SALAAM RAPID TRANSIT. Huyu sasa ndio anatoa huduma na yale mabasi yake yanayoonekana barabarani. Na kama nilivyosema hapo juu, msimamizi mkuu wa usafiri wenyewe. Hivyo UDART hawezi kufanya lolote mule nje ya mkataba au maelekezo bila kupata idhini ya DART. Na hata ikitokea mkataba wa UDART umekwisha DART ndiyo anashughulika na kuandaa tenda ili kumpata mtoa huduma mwingine.
Nadhani kwa ufupi utakuwa umeelewa tofauti ya taasisi hizi mbili.
kila siku tunawambia udart sio kampuni binafsi ni kampuni ya msajili wa hazina asilimia 85 na simon group asilimia 15 ni public company ndio maana unaona wanakomaa kutafuta mbia binafsi ili anunue magari serikali haifanyi biashara inatoa huduma ndio maana wamekwama kununua mabasi mpyaaa kwa niaba ya serikali DART ndio anatakiwa kubaki katika BRT kusimamia watoa huduma kwa mfumo uliopo wa sasa serikali (DART) wakala wa serikali BRT kumsimamia mtoa huduma wa mabasi ambae pia ni serikali( UDART) ni ngumu kama kula jiwe na kumezaTOFAUTI YA DART NA UDART
DART ni taasisi ya serikali yenye hadhi ya wakala kama alivyo TANROADS, REA, TEMESA, nk na kirefu chake ni Dar es Salaam Rapid Transit Agency au Wakala wa Usafiri wa Haraka Dar es salaam.
Taasisi hii imeundwa kwa mujibu wa tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa jiji la Dar es Salaam. Wakala inakusudia kufikia malengo yafuatayo:
a)Kuanzisha na kuendesha mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka kwaaajili ya Dar es Salaam, yatakayotumia jina la DART;
b)Kuhakikisha mtiririko bora wa usafiri kwenye mitaa na barabaraza mjini, na
c)Kuhakikisha usimamizi wa wakala wenye ufanisi.
Na Je, UDART ni nini?
UDART ni kampuni binafsi inayoendesha magari yaendayo haraka, kirefu chake ni USAFIRI DAR ES SALAAM RAPID TRANSIT. Huyu sasa ndio anatoa huduma na yale mabasi yake yanayoonekana barabarani. Na kama nilivyosema hapo juu, msimamizi mkuu wa usafiri wenyewe. Hivyo UDART hawezi kufanya lolote mule nje ya mkataba au maelekezo bila kupata idhini ya DART. Na hata ikitokea mkataba wa UDART umekwisha DART ndiyo anashughulika na kuandaa tenda ili kumpata mtoa huduma mwingine.
Nadhani kwa ufupi utakuwa umeelewa tofauti ya taasisi hizi mbili.
Siku hizi tunapeana Tu, madhali katiba ina ruhusuMradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni.
Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu kumpitisha?
Kwanini Tanzania tunaogopa kuzishindanisha hizi nafasi watu waombe? Nakumbuka Nehemia Mchechu aliwahi kushauri nafasi za wakuu wa mashirika ziwe zinaombwa badala ya kuwa na nafasi za uteuzi ila mfumo ulimpinga vikali.
Huyu Kindammba siyo mtu wakupewa shirika lililokufa kwasababu yeye mwenyewe ni tegemezi wa fikra na hajawahi kuwa mtu wakuchukua hatua pale anapoona ubadhirifu.
Kabla ya TTCL aliwahi kuwa DTBKabla ya ukuu wa Mkoa alikuwa mkurugenzi mkuu wa TTCL