Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.

Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao mwilini, na tunajitafutia magonjwa kwa shangwe zote, lakini hatujali wala nini, mpaka yakufike! Eti tunajipa moyo mbinguni tutapata mili mipya[emoji23][emoji28][emoji28].

Kwenu Wakuu, kitu gani ni hatari lakini kila mtu anachukulia poa?

Unywaji pombe na ulaji kitimoto!
 
Back
Top Bottom