Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

Tiktoku hii ni sumu alafu imekula sana upande wa mweusi asilimia 90
 
Mchepuko
Mipasho majukwaani
Kuuza bandani
Kuwatesa wamasai
Kuwauzia wahuni sehemu ya mbuga zetu kihuni..
Uhuni especially kwa wamama.
Umalaya
 
Uislamu na Ukristo pamoja na wachungaji na mashehe wa michongo kama wakina Mwamposa na kipozeo.
 
ccm inachukuliwa poa sana na wananchi walio wengi. Ila kwenye uhalisia, hii takataka haitakiwi kuwepo kabisa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom