Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi sawa,, nyie endeleeni😄😄[emoji23][emoji23][emoji23]iwee hvyo tu madam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa,, nyie endeleeni😄😄[emoji23][emoji23][emoji23]iwee hvyo tu madam
Tangulia nakujanjoo pm nikupe tuzo.mana unastahili kwakweli
sawaTangulia nakuja
Ngono kwa ujumla wakeKula tunda kimasihara ...
Wakati hujui limeoza au zima...
Kauli ya KIFISADI
Na wewe si humo kwenye kundi hilo au umeacha ss hivi?Kukaa kwa shemeji
Nakaa mwenyewe unanchukuliaje😂Na wewe si humo kwenye kundi hilo au umeacha ss hivi?
Sio kweli……nakaa mwenyewe unanchukuliaje😂
We maku nyeto ina ubaya gnNyeto...
Mbususu.Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.
Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao mwilini, na tunajitafutia magonjwa kwa shangwe zote, lakini hatujali wala nini, mpaka yatufike! Eti tunajipa moyo mbinguni tutapata mili mipya😂😅😅.
Kwenu Wakuu, kitu gani ni hatari lakini kila mtu anachukulia poa?
It will be a new normalMpalange inakua kwa speed sana tanzania....hasa ukanda wa pwani daah athari kubwa mno 2030 taifa lateketea kwa mengi san😥
KATIBA MPYA.Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.
Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao mwilini, na tunajitafutia magonjwa kwa shangwe zote, lakini hatujali wala nini, mpaka yatufike! Eti tunajipa moyo mbinguni tutapata mili mipya😂😅😅.
Kwenu Wakuu, kitu gani ni hatari lakini kila mtu anachukulia poa?
acha wapasuke vichwa.Helme Helmet Helmet... Pikipiki hizi bwana Helmet inaonekana kama mzigo au kero lakini Usiombe yakukute HELMET jaman narudia tena Helmet
Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.