Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Huyu hana jambo huyu!Samia๐
View attachment 2756001
Sioni watu wakitaja โkutenda dhambiโ
Inaonekana ni kitu cha kawaida sana siku hizi kuishi bila hofu ya dhambi
Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa.
Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao mwilini, na tunajitafutia magonjwa kwa shangwe zote, lakini hatujali wala nini, mpaka yakufike! Eti tunajipa moyo mbinguni tutapata mili mipya[emoji23][emoji28][emoji28].
Kwenu Wakuu, kitu gani ni hatari lakini kila mtu anachukulia poa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]madam hii c starehee jmn au nachanganya...Uzinzi
umeolewa/umeoa?Uzinzi
Ndo tunaichukulia poa kama hivi kuita starehe๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]madam hii c starehee jmn au nachanganya...
Unywaji pombe na ulaji kitimoto!
Hapana๐๐umeolewa/umeoa?
wewe nibikra?Hapana๐๐
Asa kitimoto ana hatari gani??
Ndyo ๐๐wewe nibikra?
[emoji23][emoji23][emoji23]iwee hvyo tu madamNdo tunaichukulia poa kama hivi kuita starehe[emoji2][emoji2]
njoo pm nikupe tuzo.mana unastahili kwakweliNdyo ๐๐