Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Morogoro huwa watu wanapasifia Sana kuwa ni pazuri. Ni moro sehemu zipi? Fursa ni kipi haswa?
Morogoro vijijini njia kuanzia kiloka,matombo,mvuha,duthumi hadi kisaki ni eneo lenye rutuba chichote unastawisha.
 
Umewahi kutembea nchi hii kweli au ndio assumptive conclusions?
 
Lakn ukishuka feri samak kule bei ya kutupa
Ukienda msanga mkuu ndio unazoa kabisa
Ukimaliza unakujaa bima hapa kwa limboa ukimaliza unainggia zako spider
Ndugu kutoka Masasi hadi huko mtwara mjini hadi urudi lindi tena aisee
 
Mmmmh!!kwahiyo kwenye huo mkoa hakuna biashara zozote au wewe unatatizo la kutokuona fulsa?
Wabongo inabidi tuamke,wakati sisi tunabagua maeneo ya kuishi hapa nchini,Kuna raia kutoka Kenya,Uganda,wapo tayari kuishi sehemu yoyote ndsni ya TZ,nimekutana na mganda Mafinga,anasema hategemei kurudi kwao,amaeishanunua ardhi anajenga,atafute mdsda aoe kabisa,Kisha aombe uraia!
Kuna mdsda kutoka Kenya,alikuja bongo,akaolewa,then ndoa ikavunjika,ni nesi pale Dodoma,yeye sasa hv ni kununua viwanja tu,na kuwekeza.
Sio lazima uishi Kilimanjaro,wekeza mkoa mwingine,inawezekana,mi niliweza kuwekeza Kigoma,nilipoanzia kazi,huku nazunguka kiguu na njia nchi nzima.
 
Huijui Kilimanjaro.

Na inaonesha hujawahi kutembea nchi hii.

Hivi Kuna mkoa ambao watu waje wanaongoza kuukimbia kama Kilimanjaro na Kigoma?

Au unafikiri hao wenyewe hawana akili
 
Mimi ni mchagga na wazazi wote ni wachagga and traditionally naelewa wachagga walivyo wote, ila tu broh yaani hizo pigo sina, hadi mzee ananiambia nina pigo za kiswahili sana, ni kwa sababu ni mtu ninaye penda kujifunza na kubadilika for better things..

Kuwa na ukabila kwangu ni no huwa nina heshimu kila mmoja.
 
Singida mjini?
Singida mjini amna mpya pale, mwajiriwa omba uajiriwe dar, arusha, au mwanza....miji yenye muingiliano ya watu.
Singida ni wanyaturu na wanyiramba wanakipiga kilugha chao hapo mjini, wachagga wa kibosho tena machinga ndiyo wapo town πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Singida kwenu bhna ila siyo mgeni...
 
Nimekaa na wachaga hapa moshi nilichokiona hapa

[emoji117]Wabinafsi kupitiliza,
[emoji117]utu kwao si kipaumbele kabisa maslahi yapo mbele ya kila kitu kwao
[emoji117]wengi wao walevi sana hata vijana wadogo,
 
Umewahi kutembea nchi hii kweli au ndio assumptive conclusions?
naijua vilivyo kuliko wewe wa juzi nenda hata kilombero huko kuna watu wana good time sana tu kwa mishemishe zao wewe unayewaza Ajira kalagabaho, unajua hata matajiri wakubwa kama kina BM Coach wanaishi Turiani Morogoro, unawajua Frester na kina Mohamed Trans etc?
 
Sizungumzii Morogoro, umeshafika Kilimanjaro au Kigoma?

Halafu, usinitajie MATAJIRI wa Kiarabu kwakuwa wanatokea Morogoro.

Una vijiakili uchwara vya kimotivational speaker.
 
Sizungumzii Morogoro, umeshafika Kilimanjaro au Kigoma?

Halafu, usinitajie MATAJIRI wa Kiarabu kwakuwa wanatokea Morogoro.

Una vijiakili uchwara vya kimotivational speaker.
Boya wewe BM ni mwarabu, Kilimanjaro kuna warombo mpaka wanamiliki ndege we hujui unafanya nini duniani, unavamia tu nyuzi uonekane na wewe unajua , Tafuta pesa wee UTUMISHI wako ni utumwa , watu tunakusanua unashupaza shingo
 
Boya wewe BM ni mwarabu, Kilimanjaro kuna warombo mpaka wanamiliki ndege we hujui unafanya nini duniani, unavamia tu nyuzi uonekane na wewe unajua , Tafuta pesa wee UTUMISHI wako ni utumwa , watu tunakusanua unashupaza shingo
Acha bange, akili zikurudie
 
Umenena ndugu binafsi napambana niende Mwanza,walinitoa dar kimajungu kuja huku mboka aiseeh life la huku limenishinda ,nimesarenda na nimelose niliyoyajenga over 10 years ndani ya 3 years tu,it's sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…