Mmmmh!!kwahiyo kwenye huo mkoa hakuna biashara zozote au wewe unatatizo la kutokuona fulsa?
Wabongo inabidi tuamke,wakati sisi tunabagua maeneo ya kuishi hapa nchini,Kuna raia kutoka Kenya,Uganda,wapo tayari kuishi sehemu yoyote ndsni ya TZ,nimekutana na mganda Mafinga,anasema hategemei kurudi kwao,amaeishanunua ardhi anajenga,atafute mdsda aoe kabisa,Kisha aombe uraia!
Kuna mdsda kutoka Kenya,alikuja bongo,akaolewa,then ndoa ikavunjika,ni nesi pale Dodoma,yeye sasa hv ni kununua viwanja tu,na kuwekeza.
Sio lazima uishi Kilimanjaro,wekeza mkoa mwingine,inawezekana,mi niliweza kuwekeza Kigoma,nilipoanzia kazi,huku nazunguka kiguu na njia nchi nzima.