Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Mulemule mie nimezaliwa na kusoma hapo hadi form 4, binafsi huwa Dec lazima nifike manake nimewalaza wazee wangu hapo.Nimekaa na wachaga hapa moshi nilichokiona hapa
[emoji117]Wabinafsi kupitiliza,
[emoji117]utu kwao si kipaumbele kabisa maslahi yapo mbele ya kila kitu kwao
[emoji117]wengi wao walevi sana hata vijana wadogo,
Wapi kasema ni wilaya?Kuna wilaya inaitwa Kilimanjaro?
Kama wewe ni mtumishi basi Taifa Lina hasara kubwa
dah mnaoishi mbali na dar mnamoyo sana.
Hakuna cha maana cha kufanya ,je hakuna weenyeji waliofanikiwa apo apo mkuu?Kufanikiwa kufanyaje?
Maana hakuna Cha maana Cha kufanya, in short.
Kwenu hakuna watu wa hivyo mkuu?Nimekaa na wachaga hapa moshi nilichokiona hapa
[emoji117]Wabinafsi kupitiliza,
[emoji117]utu kwao si kipaumbele kabisa maslahi yapo mbele ya kila kitu kwao
[emoji117]wengi wao walevi sana hata vijana wadogo,
Hategemei ajira rasmi huyo atakuwa afisa usafirishaji πKauli hii inaweza kutolewa na mtu anayetegemea kuajiriwa
Unaongelea Moshi CBD hiyoKilimanjaro kuna kata km saba tu zenye hali nzuri ya hewa tena zaidi wilaya ya moshi
Hategemei ajira rasmi huyo atakuwa afisa usafirishaji [emoji28]
Huku waliofanikiwa kibiashara wapo ila mostly kwa njia kubwa NNE.Hakuna cha maana cha kufanya ,je hakuna weenyeji waliofanikiwa apo apo mkuu?
Pole mkuu, mungu akufanyie wepesi....Umenena ndugu binafsi napambana niende Mwanza,walinitoa dar kimajungu kuja huku mboka aiseeh life la huku limenishinda ,nimesarenda na nimelose niliyoyajenga over 10 years ndani ya 3 years tu,it's sad
Sasa mbona panasifiwa ipo juu kiuchumi?Siyo kihivyo ....shida ya hapo mzunguko wa pesa mdogo.... population hakuna ya kutosha ...hamna shughuli (ajira ikiwemo viwanda) ...vya kuita watu
Uchumi upi huo...?..Sasa mbona panasifiwa ipo juu kiuchumi?