Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

Nimekaa na wachaga hapa moshi nilichokiona hapa

[emoji117]Wabinafsi kupitiliza,
[emoji117]utu kwao si kipaumbele kabisa maslahi yapo mbele ya kila kitu kwao
[emoji117]wengi wao walevi sana hata vijana wadogo,
Mulemule mie nimezaliwa na kusoma hapo hadi form 4, binafsi huwa Dec lazima nifike manake nimewalaza wazee wangu hapo.
 
Bongo bado pabichi sana... Ujanja ni kukaa kwenye center zinazoanza kuchomoza...upinzani unakuwa mdogo...ukifungua hata Duka unakuta mko watatu tu mtaa mzima...mfano: Nyakanazi, Kakola n.k..kukaa sehemu ambazo tayari madon ni wengi unaishia kuwa msindikizaji tu
 
Kilimanjaro kuna kata km saba tu zenye hali nzuri ya hewa tena zaidi wilaya ya moshi
 
Nimekaa na wachaga hapa moshi nilichokiona hapa

[emoji117]Wabinafsi kupitiliza,
[emoji117]utu kwao si kipaumbele kabisa maslahi yapo mbele ya kila kitu kwao
[emoji117]wengi wao walevi sana hata vijana wadogo,
Kwenu hakuna watu wa hivyo mkuu?
 
Hakuna cha maana cha kufanya ,je hakuna weenyeji waliofanikiwa apo apo mkuu?
Huku waliofanikiwa kibiashara wapo ila mostly kwa njia kubwa NNE.

  • Kuingiza bidhaa za magendo kutoka Kenya ( hasa sukari na Mafuta ya kula)
  • Mirungi ( Hizi biashara 2, mgeni huwezi kujihusisha nazo, utauzwa asubuhi tu)

  • Biashara halali zenye mitaji mikubwa na zilizoanza kitambo.
  • Uchume kutoka mikoa mingine halafu uje kujenga huku.

Hiyo ndio Hali halisi.
 
Umenena ndugu binafsi napambana niende Mwanza,walinitoa dar kimajungu kuja huku mboka aiseeh life la huku limenishinda ,nimesarenda na nimelose niliyoyajenga over 10 years ndani ya 3 years tu,it's sad
Pole mkuu, mungu akufanyie wepesi....
 
Sasa mbona panasifiwa ipo juu kiuchumi?
Uchumi upi huo...?..

Sehemu hakuna viwanda,hakuna kivutio chochote (pwani,bandari,makutano ya barabara kuu wala hali nzuri ya hewa)....

Wanategemea misimu ya korosho,mbaazi na mvua itakapojisikia kunyesha 😥😥😥...wakazi wa huku ni pombe na unyago ndiyo kipaumbele, elimu siyo kipaumbele chao
 
Back
Top Bottom