Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Jamaa yangu hawewezi kurudi kwa tume hii kwanza wapinzani wakweli hawashiriki uchaguzi unasimamawa na watu wa ccm niujinga kusimamiwa na mpinzani wako alafu utegemee ushindi tuliambiwa miaka mingi katiba hii si nzuri sikuakiingia rais dikteta hatuchomoki ndio tumeyaona kwatume hii wapinzani watakao shiriki ni vibaraka nakama watashiriki nitasema niwaongo sana huwa hawaibiwi kura wanashindwa Kialali tuWakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Kitendo cha wao tu kuwa wapinzani ni ishara tosha kuwa kisaikolojia wako sawa kabisa.Chaguzi ndogo zilizofanyika zimetosha kutoa picha ya uchaguzi mkuu 2020. Kwa mtazamo wangu kwa yanayoendelea na yanayofanyika itakuwa ngumu sana mbunge wa upinzani kutoboa 2020 kama hawatafanya mabadiriko yanayohitajika
Wabunge wanaweza wasirudi lakini Wananchi wakaendelea kubaki kuishi Itikadi ya hivyo vyama pinzaniChaguzi ndogo zilizofanyika zimetosha kutoa picha ya uchaguzi mkuu 2020. Kwa mtazamo wangu kwa yanayoendelea na yanayofanyika itakuwa ngumu sana mbunge wa upinzani kutoboa 2020 kama hawatafanya mabadiriko yanayohitajika