Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Anasnitch kundi kwa nani? Kama anafanya most of their likes?Wanasema nyuma ya pazia anasnitch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasnitch kundi kwa nani? Kama anafanya most of their likes?Wanasema nyuma ya pazia anasnitch
Anataka na yeye awe God mother!awe na jina !!alitaka kuzunguka mmbuyu Mkuu akashtukiwa!!!Ngoja TUONE!!Anasnitch kundi kwa nani? Kama anafanya most of their likes?
Umekuwa mnyonge sana Jingalao. Kama sio wewe vileThrough the Cyclone we will reach the shore
We MKUBWA mpe hint Ili aka dig deeper!!Kiufupi wewe bado mtoto huwezi elewa mambo yalivo.
Wamemtisha, ambacho sina hakika amewajibu vipi.Kwahiyo namba moja anakwamisha maslahi ya kundi hilo? Mbona hali halisi haithibitishi hili mkuu?
Bas atakuwa ana roho ngumuAnataka na yeye awe God mother!awe na jina !!alitaka kuzunguka mmbuyu Mkuu akashtukiwa!!!Ngoja TUONE!!
NAONA wamepandisha majina mawili jukwaani kuwa MMOJA wapo anaandaliwa kuchukua kijiti baada ya mama!Sasa mtifuano HUO unaweza kuzaa chaguo la tati lisilo tarajiwa ambalo NDIO hilo la Mungu kama wasemavyo kina Rabbon HUMU jukwaani hatmaye tukapata mtumishi wa Mungu kitalani na nchi ikaongozwa kiroho na sio kishetani kama ilivozoeleka!!Wamemtisha, ambacho sina hakika amewajibu vipi.
Ndio sasa wanasema wamemuweka ktk kipindi cha matazamio.
Inafikirisha sana.
Wanaoitwa Sukuma Gang ndio wamemtisha?Wamemtisha, ambacho sina hakika amewajibu vipi.
Ndio sasa wanasema wamemuweka ktk kipindi cha matazamio.
Inafikirisha sana.
Wale masheikh wawili ?NAONA wamepandisha majina mawili jukwaani kuwa MMOJA wapo anaandaliwa kuchukua kijiti baada ya mama!Sasa mtifuano HUO unaweza kuzaa chaguo la tati lisilo tarajiwa ambalo NDIO hilo la Mungu kama wasemavyo kina Rabbon HUMU jukwaani hatmaye tukapata mtumishi wa Mungu kitalani na nchi ikaongozwa kiroho na sio kishetani kama ilivozoeleka!!
Tutaachiwa ipi?Wana JF na Watanzania,
Kuna kundi limejitanabaisha humu kama wao ndio waamuzi wakuu wa hatma ya nchi.
Huko nyuma mwandishi mmoja wa kundi hilo amekuwa akiandika na kuyaita maandishi yake kama "maono", badae akaanza kusema anawasilisha yaliyopitishwa "mezani", badae alivyopata kuaminika hasa hapa JF anajitambulisha na kujibu thread kama sehemu ya akiitacho yeye "thestate". ;/0101...
Mwandishi huyu wa kundi hili amekuwa akiandika makala mfululizo, akisema mpango wa kufanya hiki, mpango wa kumuondoa yule, n.k
Japo anajifanya kusema kimafumbo ila hata "paka" anang'amua maana ya mafumbo yake.
Kilichofanya aaminike hapa JF ni baadhi ya bashiri zake zilizoenda "walivyopanga".
Kwanza niwaambie Watanzania, hakuna mpango wa '0101...' unaoahirishwa. Eti leo lipangwe jambo flani, halafu badae waje waseme tumeahirisha jambo hilo, tunatazamia. Hakuna '0101...' yenye akili ndogo kama hiyo.
Yani eti '0101...' iwe inakurupuka, ipitishe jambo then irudi nyuma! Haipo! Never.
Kama msomaji wangu, hiyo '0101...' inakutatiza, weka "thestate" anayotumia huyo mwandishi wao.
Sasa huyu mwandishi wao 'TA' ni mwakilishi wa kundi flani ambalo halitaki vyovyote vile 'maslahi' yao binafsi yaguswe. Kinachowapa nguvu ni kwamba wana link maslahi yao na maslahi ya jabali flani la taifa kubwa, na hata baadhi ya mipango hutokea huko.
Ukisoma maandishi yao, ni kwamba sasa hivi kundi hili limeshawatisha viongozi wote wakubwa waliopo, P, VP, PM, PS, S, CJ, n.k
Of course wamewaambia kwamba wao hawagusiki, na wanawapa mifano ya huko nyuma.
Mimi sitetei uozo wa kiongozi yeyote, lakini nachokataa na naamini ni hatari, kuwa na kundi flani ktk nchi eti linahodhi maslahi na kuamua ili mambo yao binafsi na watu wao yaende.
Sasa nikuulize 'TA' mwandishi wa kundi hili.
Unajua kwamba lile jabali la nchi ile kubwa, linamtumia 'JM' anayeongoza nyumba ile muhimu?!
Je, mnajua jabali hilo la nchi hiyo kubwa linataka 'JM' agawanye nyumba ile, na ziwe nyumba tatu?! Halafu wao wakabidhiwe nyumba mbili, tubaki na moja?!
Je, mnajua steji ya kwanza ya mkakati huo imeshatekelezwa vema na ndg 'JM'?
Jabali lile la nchi kubwa, linamjua vyema 'JM', lilishawahi mlea wkt flani, na linajua tamaa yake.
Leo linamtumia 'JM' kuhakikisha nyumba ile inakuwa vipande vitatu, na wao wapewe viwili.
Huyu 'JM' ni sehemu yenu mnaojiita "thestate".
Ni kundi ambalo mkihakikishiwa maslahi yenu hamna shida kabisa.
Taifa ndio linalopoteza. Nyie akina 'TA' ni maslahi tu.
Subiri muone hilo jabali la nchi ile kubwa linachokifanya kupitia "JM", Taifa linaenda kutolewa meno. Eti nyie "thestate" mpo...!
Asomaye JF na ang'amue, hakuna '0101...' wa kukesha huku mtandaoni.
Pole Taifa.
Lile la Edward lilisambaratishwa tu. Sema mzee Edo ndo wamemchosha.Ila kama kundi la Edward lilizimwa, utatu wa watu wenye pesa Edward, RA na JC(nyoka mwenye makengeza) ulizimwa, sembuse kijikundi cha vitoto ndio kiisumbue Taifa na maslahi yake?
Wanatumia akili sana kutuchanganya, yani inabidi utulize akili sana. Wana mbinu flani wanazitumia. Moja, kusoma upepo, mfano kumsogeza flani waone mnasemaje. Mbili, kutomzungumzia kabisa wanayemtaka. Tatu, kujifanya wanapingana na mastermind wao, kumbe ndiye msuka mipango yote.NAONA wamepandisha majina mawili jukwaani kuwa MMOJA wapo anaandaliwa kuchukua kijiti baada ya mama!Sasa mtifuano HUO unaweza kuzaa chaguo la tati lisilo tarajiwa ambalo NDIO hilo la Mungu kama wasemavyo kina Rabbon HUMU jukwaani hatmaye tukapata mtumishi wa Mungu kitalani na nchi ikaongozwa kiroho na sio kishetani kama ilivozoeleka!!
Kwenye mipango ya 1, na 2 ....fuatilia vizuri. Kuna mabadiliko makubwa sana hadi saiviTutaachiwa ipi?
1. Generation?
2. Transmission?
3. Distribution?
Sio mchezoKujipanga muhimu sana kuna MTU uchaguzi wa 2025 hatoshiriki inatisha sana na ulinzi wake wa sasa nasikia hautasaidia kitu, in Iluminate new entrant voice
Kutapambazuka tu. TungojeKheeeeeh kumekuchaaaah sasa,