Hao ni wapumbavu na wajinga .Hao ni watu wenye akili Kama za kuku.Hivi Kama Mwalimu Nyerere angekuwa na akili za kipumbavu Kama hao wapumbavu wa Msoga leo hii ,Taifa lingekuwepo?Hizo ni akili za kuku tu.
Kwa kuwa Mwalimu alijua hata uchukue Mali zote ,uwe na majumba ya thamani trillion kumi.Kufa utakufa tu na utayaacha yote.
Aidha niwakumbushe kuwa hata wakiviacha hivyo vitu kwa wajukuu wao.Ipo siku ,Mungu ataleta kiongozi mzalendo kwenye nchi hii.Kama alivyofanya kwa Angola.
Watanyanganywa vyote ,vvyote ,vyote .Narudia tu ,wanachofanya ,ni upumbavu na ujinga wenye akili ya kuku.