Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

Mkuu na tayari kuna Uzi umefika wa TA kuwa Zina baki MBILI kama ilivyo Sasa!!!Mbona wewe una sema tatu!!?au umechanganya!!?
 
JM ndio yule hesabu ajuhi?

Nawakumbusha wakiiba wajue na ku ficha la sivyo itakuwa kama Angola.

Tatizo la hawa vijana wanajiita the state wanasahau wazazi wao wanaowategemea LIFE EXPECTATION(span) inawatupa mkono.
 
Mimi ninachojua ni hawatafanikiwa. Waache wajitutumue lakini mwisho wao umeshajulikana. Na huyo kipara akae akijua hao wanaomtumia hawatakuwepo kipindi wazalendo wanamhenyesha kurudisha pesa alizowaibia watanzania, na atazitoa kupitia matundu yote mwilini mwake. Mungu ibariki Tanzania.
 
Au ni yule anajidai Kuna 'the deep state'😆
 
Aiseh kea hiyo 0101 haiwezi kuja mitandaoni kutoa taarifa yeyote sio!?

Yaani kina TA ni wasanii tu si Ndio!!

Kama ni hivyo hao 0101 wanapaswa kumtumia mtumishi wa kawaida KABISA ambaye ni mzalendo wa kweli kulikomboa TAIFA yaani watumie asie Mwanasiasa wala hajulikani kaibuka tu kutoka Kijiji I huko kusikojulikana akitumikia wananchi na kupewa kijiti kwa chama chochote!!

Inaonekana wanasiasa WALIOWENGI ni corrupted TAYARI!!Sasa apatikane mtu huyo afanye kweli!!
 
UNACHOJUA HAWATOFANIKIWA!!!?Ina maana una info kamili kuhusu wao si Ndio!!?

Sasa hao kina TA ,unakubaliana na mleta mada kuwa ni 0101 feki wanaotuandaa Ili kuratibu operation zao kinyume na 0101 halisi!!?

Nijibu tafadhali!!
 
"Classified info" huwa hazi leak hadi wenyewe baada ya miaka mingi kupita, waamue kuzitoa tena vipande vichache tu.

Ndio maana akajiita "TA". Nakushauri tumia akili yako vyema.
Hilo kundi wao ndio wanaoamini kuwa na akili na kwamba si binadamu wa kawaida. Na wao ndio wanastahili kuongoza na sio kuongozwa. Wanaamini wana uwezo wa kuwaambia huu udongo ni pesa, nanyi mkafuata.

0101 inapambana lakini je itaweza baada ya muda gani, na hali ya Taifa itakuwaje wkt huo?!
 
Tunapitia kipindi kigumu sana kama Nchi.

Shida kubwa inakuja pale Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani.
 
Tunapitia kipindi kigumu sana kama Nchi.

Shida kubwa inakuja pale Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani.
Matamshi ya juzi ya Kikwete na Makamba, ni mfululizo wa mengi yaliyo nyuma ya pazia.
 
Naendelea kusisitiza, huyu anayejiita "TA" ni genge lile lile la JK Na Makamba.
Maandishi yake humu huwa ni "diversion" au "maandalizi" ya yaliyo nyuma ya pazia.
 
"Labda mambo yakiharibika sana"

Rais Samia wewe hutakufa, kwa sababu wazuri hawafi, ndio maana Jakaya na Kina bado wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…