Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

We are the most stupids creatures in the universe
 
"Wazuri hawafi"
Mkuu

Siamini kabisa kuwa T.A ni member wa hilo kundi, inawezekana kundi lina nguvu LAKINI sio kuzidi 0101!

Ingekuwa ni hivyo unavodhani !hali ingekuwa MBAYA Sana kuliko Sasa!!!

Nadhani T.A anatumwa kumbe za wale 0101 sio hao jamaa!
 
Naomba na naendelea kuomba vyombo vyetu vya usalama, kufungua macho zaidi.

Ninaamini mh. Rais anazidiwa "kete" mahali.

Ana hofu na jambo, ila hawezi kufanya kinyume na wanaomtisha.
 
Niambie hali ikoje sasa ..
 
Full coded.

Narudi
 
Hata mimi sio wa jikoni Mkuu!!

Kwani unaona vitisho vyovyote!!?

Mi naona shwari na anajiamini mbona!!?
Hahaha, bado huoni.

Ulishaenda shule ya udereva?!

Nipe picha , Yeye ni dereva mwanafunzi, halafu kuna dereva mwalimu pembeni yake.

Anaambiwa kata kulia.
Anakata, lakini anajiuliza kwa nini nikate kulia, mbona sijawasha indicator?!
 
Hata nikienda shule ya udereva,kama sipo kwenye viunga,mioyo, mpangokazi wa hao 0101 nitapenyaje!!?

Just a humble dreamer!!
 
Naomba na naendelea kuomba vyombo vyetu vya usalama, kufungua macho zaidi.

Ninaamini mh. Rais anazidiwa "kete" mahali.

Ana hofu na jambo, ila hawezi kufanya kinyume na wanaomtisha.
Inasemekana eti,ameamua kuungana na paka ili kulishinda lile kundi hatari linalompangia cha kufanya!!!

Eti NDIO maana ili KUPATA support si ndio hiyo dp world ikakolea!!?

Eti we unaonaje!!?

Kuhusu T.A alikuja na uzi mwingine majuzi juzi!

Eti ile operation iliyositishwa imeanza tena akisema tusubiri after a few days!

Ukitaka kuusoma uzi huo!mtafute Gagnija fatilia post zake utaukuta moderators walisepa nao!!

Hivyo tu MKUU!!
 
Uzi ninao,
Ukimjua mchoraji wa DP World, wala hutamsingizia PaKa
 
Kwa kawaida vita (cold war) kati ya wazalendo na wanyonyaji huwa haziishi. Ni tangu enzi na enzi. Hupoa kwa muda ila badae hurudi tena.

Wazalendo wakishindwa basi wanyonyaji huanza kupambana wao kwa wao mpaka wazalendo wakiinuka tena.

Mfano unalionaje suala la bandari?

.......The League..….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…