Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

Ndio wanamaliza kabisa ile mizizi ya nchi ili waneemeke wao na vijukuu vyao tu
 
Of course.

Ni vita isiyokoma.

Inaacha makundi na maumivu mengi sana.

Ktk sakata la bandari, wazalendo wakiishiwa nguvu tu, watamalizwa kabisa, na itachukua miongo na miongo kuja kuchomoza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…